Peleka malalamiko yako sehemu sahihi nendeni TAMISEMI au nenda ofisi za ajira na migogoro au kamwone mkurungezi wako wa mji
Humu jamii forum sio sehemu sahihi ya kufikisha malalamiko yako na kama utakosa msaada kote uko bas subiri siku waziri mkuu akifanya ziala wilayan kwako kamshitakie maana huyo ndo anafanana akili na ww