A
Anonymous
Guest
Nimefanya kazi ya kuwauzia milango Wilaya ya Nanyumbu, Mkoa wa Mtwara tangu Mwaka 2023 mpaka sasa sijalipwa, nimejitahidi kwa kadri nilivyoweza kuonana na wahusika lakini bado hali ni mbaya, naomba nisaidiwe kupaza sauti nipate haki yangu juu ya hili.
Nilikuwa nashiriki katika ujenzi wa Shule ya Secondary ya Wasichana ipo pale Nangaka inaitwa Mkapa Girls.
Wanaotakiwa kunilipa ni Ofisi ya Wilaya ya Nanyumbu, nina quotation ambayo tulianza kwa makubaliano ya fremu wakanilipa baada ya hapo nikatengeneza milango nikalipwa kiasi, iliyobaki ndio sijalipwa mpaka sasa.
Hizo kwenye picha zilikuwa fremu nililipwa, baada ya hapo nikatengeneza milango yake nikalipwa theluthi ya kile tulichokubaliana kwenye milango iliyobaki kwao mpaka sasa sijalipwa na kazi nilisha maliza tangu wakati huo.
Milango ilikuwa 147, tulikubaliana bei ni Shilingi 45,900,000/=, nikalipwa Shilingi 15,000,000= bado nadai 30,900,000/=
Halmashauri wajibu Fedha kulipwa July 2026, Zaidi soma:Halmashauri Nanyumbu sasa Kulipa deni la mkandarasi Julai