polen na kazi. juzi wilaya ya Rungwe Tukuyu walibandika majina ya wasimamizi wa zoezi la sensa. baada ya siku 2 taarifa zikaja kuwa majina hayo yalikuwa batili kwa sababu waliwaweka walimu waliokuwa wamegoma eti wanahofia wataharibu kazi. je ni haki kuwatenga walimu kisa walikiwa wanadai haki yao?
Sasa we watu waligoma na wanaendelea kugoma kwasababu hawajakamilishiwa madai yao unategemea watafanya nini wakipeleka maelezo potofu serikalini itakuaje? hauoni kuwa watakuwa wamearibu mipango ya maendeleo ya nchi,ni vema kwasababu watawapa watu wengine shughuli ya kufanya waliokuwa mitaani tu wakati wana elimu ya utendaji pia!!