polen na kazi. juzi wilaya ya Rungwe Tukuyu walibandika majina ya wasimamizi wa zoezi la sensa. baada ya siku 2 taarifa zikaja kuwa majina hayo yalikuwa batili kwa sababu waliwaweka walimu waliokuwa wamegoma eti wanahofia wataharibu kazi. je ni haki kuwatenga walimu kisa walikiwa wanadai haki yao?