Wilaya ya Temeke yaongoza kwa ushoga nchini


View: https://youtube.com/watch?v=DQgzKmIS6DY&si=eb3bXZdn3F5-oJ9A
 
Zamani ndio ilikuwa inaonekana inaongoza kwa uhuni na usela

Kweli mambo hubadilika jamani
 
Cha ajabu TMK inaongozwa Kwa misikiti mingi pia, sijui Kuna uhusiano gani na huu ushoga!

Au ndio majini mahaba?
 
Huu ni msiba miaka ya mwanzo ya tisini Dar es salaam kulikuwa na jamaa mmoja alikuwa akiitwa Faruku na alikuwa akionekana nyakati za sikukuu kidongo chekundu gerezani kwenye viwanja vya michezo watu wote walikuwa wakimshangaa kwa miondoko yake na michezo yake alikuwa akihusishwa na ushoga.

Na Tusi lilikuwa wewe faruku nini watu wanarusha mawe kwa hasira. Sasa namba zinasema wamefika 37,229 by 2025. Hatua zichukuliwe sasa wasizidi hawa waliopo.
 
Ushoga mpaka jeshini upo,Kuna mwanajeshi alipata ajali ya mguu akapewa ruhusa ,muda mwingi huwa namkuta viwanja anatoa ofa za bia Kwa wana.yaani yeye bia ni jtatu mpaka jtatu.ikaja kugundulika kumbe wale vijana anaowanunulia bia Kila siku ndio wanamfira(na walitoa maelezo wenyewe na ni zaidi ya mmoja) kesi ilienda mpaka kazini jamaa akasimamishwa kazi ila kiuhalisia jamaa alihamishwa mkoa mwingine ili kusafisha hadhi ya jeshi
 
Sinza&tbt ndy kumeoza huko kuna vijana,watoto wamepangiwa na majumba kabisa wengine na kupewa magari wenyewe wanajiita mashoga high class
Tmk vibao kata,miziki sjui kutunzana ndiyo sana
Ila mwananngu Etwege uzi huu umeamsha balaaa πŸ˜„

Ova
 
Tmk inaongoza kwa watoto kuanza ushoga udogoni sababu ya mazingira.

Kinondoni wengi uanza ushoga ukubwani sababu ya tamaa ya pesa
Yaani mtu anaamua apokee libolo fc kisa hataki kufanya kazi daah ni huzuni kweli kweli
 
Kama hujui ni hivi wanawake wote mnaosagana wote nyie ni Mashoga
Wanaome wote wanaingiliana wote ni Mashoga nikiwa na maana ya kwamba anaeingiliwa na anaingilia wote ni machoko pia mwanamke anaesaga wenzie na anaesagwa wote ni machoko
Nisijue mapenzi ya jinsia 1 mie? Em utulie nikupe somo bwashee.

Wanawake wanasagana sio mashoga, wanawake wanaofirwa sio mashoga, wanawake wanao wakoboa wanaume sio mashoga,

Mashoga, ni wanaume wanao jihusisha na mapenzi baina yao.

Wanawake wanao jihusisha na mapenzi baina yao ni wasagaji.

Wanawake wanawao wakoboa wanaume, ni Stud, sijajua kiswahili chake ni kipi.

Wanawake wanaoingiliwa nyuma, nu wanawake tu, labda niseme kahaba.

Sijui unaelewa?
 
Kwa wanaume ni mashoga na kwa wanawake ni wasagaji. Tunatumia Kiswahili, sio lugha za mitaani
Bora umuambie huyo, yaani anadhani yeye anajua mapenzi ya jinsia 1 kuliko mie. Lol
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ si umtaje tu ni Minister kwa sasa. Lol
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ je km haisimami?
 
kesho kwenye magazeti.

Mwananchi
HATIMAYE TEMEKE YAIPIKU KIDONDONI KWA KUFUKUA TOPE

Nipashe
TEMEKE KINARA KWA KUSUKUMA MBOLEA

MwanaHALISI
TEMEKE NI ZAIDI YA SODOMA NA GOMORA

Mtanzania
TEMEKE MABEGANI

Uhuru
P DIDDY AIWEKA TEMEKE MABEGANI
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ watu mmevurugwaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…