A
Anonymous
Guest
HWilaya ya Uyui haijalipa posho za kujikimu kwa ajira mpya huku viongozi wakitoa sababu zisizo na msingi.
Mara pesa haijaletwa na serikali, ilivyoletwa wakatumiwa barua ya TAMISEMI wanajibu tu "Asante kwa taarifa" na Serikali iliamuru tulipwe kabla ya tar 15 June 2026 ila mpaka sasa wana kazi ya kutujibu tuendelee kusubiri account zitatetema muda wotewote.
Watupe majibu, muda gani na wakati mwaka wa fedha umeisha leo