Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi katika kusafiri kwangu na kuishi maeneo mbali mbali, kati ya wilaya ambazo zina guest house nyingi ni Dodoma Mjini na Babati Mjini. Unakuta katika nyumba kumi za katikati ya mji 7 ni Guest houses. Ongezea wilaya ambayo unadhani ina GH nyingi
Wilaya ya kishapu mkoa wa shy inafuatia katika kila nyumba 2 moja ni gesti!
hapana chezeya temeke.
Ukiondoa Wilaya, miji mingine ambayo ni ya kibiashara ambayo ina Guest House nyingi ni pamoja na Makambako na Tunduma!
kinondoni ni balaa kuna guest house bubu hadi vipofu
Aisee kumbe na Basukuma hawajambo
That means uwepo wa muingiliano wa kibiashara ndo umesababisha hali hiyo.
mtwara mjni