Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wilaya ya kishapu mkoa wa shy inafuatia katika kila nyumba 2 moja ni gesti!
Zinatusaidia sana hizo gest house sijui tungekuwa tunaenda wapi siye .
Sent from my iPad using JamiiForums
morogoro mjini pia...
Hivi sinza iko wilaya gani?
Kahama na Kakola funga kazi.
kahama ni balaaaaa
Hapo unazungumzia kama uko mkoa wa ugenini alafu huna pa kufikia au unazungumzia kwenye mambo yetu yale?