Wilaya yenye guest house nyingi

Wilaya yenye guest house nyingi

morogoro mjini pia...

Kabanga katika woteee wewe umesema ukweli kabisa nimetipa karibu tz nzima sijapata kuona mji au wilaya yenye guest house kama Morogoro mjini tena msamvu na kihonda yaaaani wale ni nooma.
 
kabanga katika woteee wewe umesema ukweli kabisa nimetipa karibu tz nzima sijapata kuona mji au wilaya yenye guest house kama Morogoro mjini tena msamvu na kihonda yaaaani wale ni nooma.
Kihonda hakuna gest nyingi bwana
 
Wilaya ya MAGU mkoa wa Mwanza inaongoza kwa kuwa G.house nyingi na pia inaongoza kwa maambukizi ya UKIMWI kitaifa.
 
Wilaya ya Songea ni noma, kila mtaa kuna guest, nilishangaa sana.
 
Nchi nzima imejaa Nyumba za kulala wenyeji wengi na wageni wachache. Hakuna sehemu Tz kuna nyumba za kulala wageni chache. Tena zipo za aina mbili, Guest house na Guest bubu.
 
Nchi nzima imejaa Nyumba za kulala wenyeji wengi na wageni wachache. Hakuna sehemu Tz kuna nyumba za kulala wageni chache. Tena zipo za aina mbili, Guest house na Guest bubu.

Zinatofautiana kuna sehemu zipo chache ila kwingine kila baada ya hatua 5
 
Asee...huwezi fananisha sehemu kahama na sehemu nyingine yoyote, KAHAMA funika bovu ati...
 
Mimi katika kusafiri kwangu na kuishi maeneo mbali mbali, kati ya wilaya ambazo zina guest house nyingi ni Dodoma Mjini na Babati Mjini. Unakuta katika nyumba kumi za katikati ya mji 7 ni Guest houses. Ongezea wilaya ambayo unadhani ina GH nyingi

Ulishawahi kufika Kahama mjini?
 
Bila shaka utakuwa mwasisi wa hizo sehemu mkuu ama?
 
Back
Top Bottom