Wilaya yenye guest house nyingi

Wilaya yenye guest house nyingi

Mimi katika kusafiri kwangu na kuishi maeneo mbali mbali, kati ya wilaya ambazo zina guest house nyingi ni Dodoma Mjini na Babati Mjini. Unakuta katika nyumba kumi za katikati ya mji 7 ni Guest houses. Ongezea wilaya ambayo unadhani ina GH nyingi

Mkuu huu mjadala bila takwimu kila mtu atasema mahali fulani ambapo amewahi kufika. Halmashauri za miji ndio zinaweza kujua kuna Guest House ngapi katika maeneo yao. Labda hizi takwimu zikikusanywa pale TAMISEMI, ukweli unaweza kubainika. Vingenevyo ni porojo tu kwenye the Home of Great Thinkers!
 
Sijui mtoa mada ulikuwa ukifikiria nini kabla ya bandiko,
 
Wilaya inayoongoza kuwa na Guest house na Lodge Nchini Tanzania kwa ziara niliyoifanya kwa nyakati mbalimbali ni Wilaya ya Kinondoni hasa Kata ya Sinza.
 
Njombe ndo sehemu yenye guest house nyingi zaidi Tanzania,

Na ikifika ijumaa SAA 2 zote zimejaa hadi jumatatu, nyiee!! ule mji wananyanduana ni balaa
 
Back
Top Bottom