DON YRN
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 606
- 1,453
Wakuu, najua mpo salama na Mungu awalinde sana.
Mara nyingi huwa napita njia ya Tanga kuelekea Moshi kukatiza Wilaya za Same na Mwanga mkoani Kilimanjaro.
Kwa mfano Pale Same kinachondelea Pale ni aibu tupu hata hapastahili kuitwa Wilayani, panafaa paitwe kijiji cha Same.
Ni mji unaoweza zunguka ndani ya dakika 20 ukaumaliza wote, hii pia vile vile kwa wilaya ya Mwanga.
Ile nadharia ya kula ugali kwa picha ya Samaki imewaharibu Wapare hadi wanaweka ubahili kwenye maendeleo, Wapare acheni kabisa hizo mambo, nendeni mkaijenge Same na Mwanga msiishie kupendezesha jiji la Wazaramo...