Wilaya za Same na Mwanga zimeathiriwa na ubahili

Kuna Mpare mmoja hivi namjua anasemaga yeye ni Mchagga hataki kusikia neno Mpare🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huyo hafai hata, atakuwa mluguru huyo!! Sema tunawapenda watani zetu🤣🤣🤣
 
Uchagani pia zipo koo za kipare na ni wapare halisi ila wanaongea kichaga hata kipare hawakijui mfano ukoo msuya ngowo hawa ni wapare tena wapo wengi mkuu
Unaelendelea na utetezi wako mtani 🤣🤣
 
kiongozi napajua vizuri huko milimani nimepanda sana ila ingependeza wenye mji wao wajitete maaana tuhuma zimekuja direct kwanini tambarare wamepaacha wamefata milima
Tambarare kuna jito kali huko milimani kama Usangi hali ya hewa n moderate na amejegwa balaa
 
Harika.......

Mlamuwa.....ili igonji liteta vini.....??

😀😀😀😀😀😀😀
 
Wilaya ya Mwanga pia ilifaa iwe mji, pale kuna ukame, jangwa, wanapopaita mjini hapazidi mita 200, idadi ndogo ya wakazi, stand hakuna maana kile ni kijiwe sio stand. Nilisoma Mwanga advance miaka mingi iliyopita sijui kama pameendelea saizi.

Ugweno na usangi walau pako vizuri kudogo!
 
Ugweno na Ussngi ndio mji wenyewe sasa achana na apo mwanga ukameni nani akae sehem mwaka mzima n pakame uache uko juu ukijan safi
 
Shida ni CCM wala sio wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…