Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Huyu mzee ni pandikiziRushwa ipo kila mahali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mzee ni pandikiziRushwa ipo kila mahali.
Njaa inauma sana, anatafuta pa kutoea, umaarufu hana tena, hata CCM wenyewe hawajui kama Slaa ni mwanachama wao HahahaNJAA INAMUUMA SASA ANATAPATAPA ALIDHANI CHADEMA WAMFUATA LAKINI WAMEMPOTEZEA
KipiMnakimbia kivuli chenu
Hivi tangu enzi za ubalozi, Slaa bado ni Chadema.Wakuu,
Inaonekana mambo yanazidi kutokota ndani vya CHADEMA kadri siku zinavyozidi kwenda.
Hivi karibuni, Dk. Slaa ameonyesha kukerwa na ukimya wa CHADEMA kuhusu tuhuma za rushwa zilizotolewa na Tundu Lissu, makamu mwenyekiti wa chama hicho.
Ikumbukwe kuwa miezi chache nyuma Tundu Lissu akizungumza katika mtandao wa kijamii wa Clubhouse alinukuliwa akisema
"Kuna tatizo la rushwa ya uchaguzi, yeyote anayesema hakuna tatizo anatudanganya, kuna tatizo la rushwa ya uchaguzi na rushwa ya uchaguzi ya mtu yeyote yule ni adui wa demokrasia na ni adui wa haki, kiongozi yeyote anayepatikana kwa kununua wapiga kura huwauza siku ikifika, kwa hiyo nilichokisema Iringa ninakisimamia kama nilivyokisema, kuna tatizo la rushwa linatuvuruga CHADEMA.
Dkt Slaa amesema kuwa, Lissu, akiwa katika nafasi ya uongozi wa juu, alikuwa na nafasi ya kutumia mamlaka yake kuhakikisha kwamba tuhuma hizi zinajadiliwa kwa kina ndani ya chama na kufanyiwa kazi ili ukweli ujulikane.
Soma pia: Tundu Lissu: Kuna Rushwa inatuvuruga ndani ya CHADEMA
Hata hivyo, Dk. Slaa ameonyesha masikitiko kwamba badala ya kuanzisha mjadala wa ndani ambao ungetafuta ukweli na kutoa majibu kwa umma, CHADEMA imechagua kukaa kimya, hali ambayo inaacha maswali mengi kwa wanachama na wafuasi wa chama hicho.
View attachment 3150966
Sio tu alichosema,Acha na mambo ya kadi zingatia alichosema
PPP ya Bwana Ngedere...Kipi
Shule ya Msingi UBUNGO NATIONAL HOUSING NYUMA YA UBUNGO PLAZA IMEUZWA.
Wazazi wameambiwa Wakachukue watoto wao wakawatafutie Shule.
Shule ya SERIKALI inauzwa kama Peremende.
Shule iliyojengwa kwa KODI za wananchi kuna watu wachache wamekaa huko juu wameamua WAUZE.
Maelfu ya WATANZANIA yanaenda kuumia kwa kukosa huduma ya Elimu kwaajili ya Maamuzi ya VIGOGO wachache.
Hapa ndio tulipofikishwa TAIFA na CHUKUA CHAKO MAPEMA (CCM).
Kwani vipi ndani ya kile chama alikokodiwa,imo haimo?Wakuu,
Inaonekana mambo yanazidi kutokota ndani vya CHADEMA kadri siku zinavyozidi kwenda.
Hivi karibuni, Dk. Slaa ameonyesha kukerwa na ukimya wa CHADEMA kuhusu tuhuma za rushwa zilizotolewa na Tundu Lissu, makamu mwenyekiti wa chama hicho.
Ikumbukwe kuwa miezi chache nyuma Tundu Lissu akizungumza katika mtandao wa kijamii wa Clubhouse alinukuliwa akisema
"Kuna tatizo la rushwa ya uchaguzi, yeyote anayesema hakuna tatizo anatudanganya, kuna tatizo la rushwa ya uchaguzi na rushwa ya uchaguzi ya mtu yeyote yule ni adui wa demokrasia na ni adui wa haki, kiongozi yeyote anayepatikana kwa kununua wapiga kura huwauza siku ikifika, kwa hiyo nilichokisema Iringa ninakisimamia kama nilivyokisema, kuna tatizo la rushwa linatuvuruga CHADEMA.
Dkt Slaa amesema kuwa, Lissu, akiwa katika nafasi ya uongozi wa juu, alikuwa na nafasi ya kutumia mamlaka yake kuhakikisha kwamba tuhuma hizi zinajadiliwa kwa kina ndani ya chama na kufanyiwa kazi ili ukweli ujulikane.
Soma pia: Tundu Lissu: Kuna Rushwa inatuvuruga ndani ya CHADEMA
Hata hivyo, Dk. Slaa ameonyesha masikitiko kwamba badala ya kuanzisha mjadala wa ndani ambao ungetafuta ukweli na kutoa majibu kwa umma, CHADEMA imechagua kukaa kimya, hali ambayo inaacha maswali mengi kwa wanachama na wafuasi wa chama hicho.
View attachment 3150966
Gentleman,Slaa yuko CCM na huko CCM rushwa ndio chakula chao hata maji hawaachani mezani, angeanza huko kwao, kuliko kujifanya kukomalia huku, kama CHADEMA imepoteza uelekeo sio furaha kwa CCM? mbona kama wanahaha, kuanzia lini Mwana CCM atake CHADEMA warekebishe mambo yao ili wazidi kuimarika!!
si ndio faida kwa CCM au kuna shida? baada ya msigwa mlisema Lisu na Lema wanakuja huko vipi au muda badoGentleman,
ukweli ni kwamba mwenyekiti na makamu mwenyekiti wa Chadema Taifa are not seeing eye to eye any more..
it will be more worse in coming days within chadema 🐒
hakuna faida kwa yeyote, bali ni hasara kwa ustawi wa Demokrasia ndani ya vyama vya siasa.si ndio faida kwa CCM au kuna shida? baada ya msigwa mlisema Lisu na Lema wanakuja huko vipi au muda bado
Njoo na suluhisho sio kilio tuKipi
Shule ya Msingi UBUNGO NATIONAL HOUSING NYUMA YA UBUNGO PLAZA IMEUZWA.
Wazazi wameambiwa Wakachukue watoto wao wakawatafutie Shule.
Shule ya SERIKALI inauzwa kama Peremende.
Shule iliyojengwa kwa KODI za wananchi kuna watu wachache wamekaa huko juu wameamua WAUZE.
Maelfu ya WATANZANIA yanaenda kuumia kwa kukosa huduma ya Elimu kwaajili ya Maamuzi ya VIGOGO wachache.
Hapa ndio tulipofikishwa TAIFA na CHUKUA CHAKO MAPEMA (CCM).
Mtizamo wako!Pale CHADEMA watu serious ni watatu tu
1. Lissu
2. Mnyika
3. Heche
Wengine wote wanajijua wao😂😂
ni Faida kwa CCM kwani hamfurahii kupita bila kupingwa na kushinda kwa asilimia 100, kwani bunge la chama kimoja si ndio zuri kama hili lililopo, bunge la kupitisha tuhakuna faida kwa yeyote, bali ni hasara kwa ustawi wa Demokrasia ndani ya vyama vya siasa.
hakuna sababu ya chama kua na upande wa kibaraka na upande wa mzalendo 🐒
Sio yeye tu hata mimi ambae sina Chama na Kodi zangu zinatumika kama Ruzuku naweza kusema lolote kuhusu hawa watu; We are sponsoring them in the name of Democracy (mbaya zaidi ni lazima either we like it or not)Alishaondoka CHADEMA akae kimya itamsaidia sana
Njoo na suluhisho sio kilio tu
USSR
Tunaweza kuwaona baadhi ya wanasiasa kama wakina Slas, Zito na wakina Lipumba,Thelathini kama vile ni wasaliti wa mageuzi na wala Rushwa, kumbe wale ambao tunawaona wazuri wakawa ndiyo wabaya Zaidi, ila kwakuwa tumejenga uaminifu kwao basi tukaamini kila wanalotuambia na hawa ambao taysri tumekwisha wsCondem kuwa ni wabaya lolote wanalosema tunawaona kama wanafiki. Mimi nadhani kila mmoja anamchango wake ktk nyanja fulani hata Covid 19 bado wanamchango mkubwa sana CDM pamoja na mavyogo vyogo yao Bado chama kinakula Rudhuku ya hao wabunge kuwa Bungeni, kwa hiyo ka Nguruwe ni haramu anakuwa haramu nyama zote usije ukasema Maini siyo haramu kwakuwa hayana mafuta mengi.Huyu Mzee aliahidi amestaafu siasa kwa hongo ya Magufuli ya Ubalozi. Ubalozi ukaisha, Josephine akasepa, rose amemkana, CHADEMA Haina mpango naye. Sasa anawaya waya tu anatafuta namna ya kurudi kwenye square one