McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Wakuu,
Akiwa anazungumza kwa njia ya mtandao Dkt Wilbroad Slaa, amesema kwamba hata yeye kipindi akiwa kijana alishawahi kupewa kosa la uhaini akiwa na wenzake
Anasema aliyekuja kumsaidia kwenye hiyo kesi ni kiongozi wa kipindi hicho Rashid Kawawa
"Katika ujana wangu miaka 73 nilipata kesi labda ya kwanza kabisa, tulipewa kesi ya Uhaini na tukataka kukamatwa. Zililetwa difenda za Polisi kama 13 za kutukamata. Serikali ya TANU kama ilivyo CCM leo ikatuita wahaini"