JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
“Mimi sina chama chochote, naomba niiweke hii sawa tangu Septemba 1, 2015 nilipojiuzulu ukatibu mkuu wa Chadema, lakini niliweka wazi kuwa katika masuala ya kitaifa, nitatoa kauli yangu, nitafanya hivyo bila uwonga wowote,”
Balozi Dkt. Wilbroad Slaa, amesema hayo katika Kongamano la kusherehekea urithi wa Falsafa ya hayati DKT. John Magufuli, leo Machi 25, 2022
Kongamano hilo linafanyika katika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT), Mwanza pia linalenga kufanya tafakuri ya miaka sita ya utekelezaji wa falsafa aliyoitumia hayati Magufuli wakati akiomba ridhaa ya kuiongoza nchi 2015.