JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Kwani nani kamuuliza?“Mimi sina chama chochote, naomba niiweke hii sawa tangu Septemba 1, 2015 nilipojiuzulu ukatibu mkuu wa Chadema, lakini niliweka wazi kuwa katika masuala ya kitaifa, nitatoa kauli yangu, nitafanya hivyo bila uwonga wowote,” Balozi Dk Wilbroad Slaa, amesema hayo katika Kongamano la kusherehekea urithi wa Falsafa ya hayati DKT. John Magufuli, leo Machi 25, 2022
Kongamano hilo linafanyika katika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT), Mwanza pia linalenga kufanya tafakuri ya miaka sita ya utekelezaji wa falsafa aliyoitumia hayati Magufuli wakati akiomba ridhaa ya kuiongoza nchi 2015.
Hiyo nayo dini piaHana dini wala dhehebu.
Hii Nchi hii huwa siwaelewi, hivi huu urithi yeye Hayati Mkapa hakuwa nao??? Hivi hii kumkumbuka Magufuli kila mwaka inafanyika kwa Mkapa? Mwinyi na JK wakiondoka nao wataenziwa kila mwaka!!??“Mimi sina chama chochote, naomba niiweke hii sawa tangu Septemba 1, 2015 nilipojiuzulu ukatibu mkuu wa Chadema, lakini niliweka wazi kuwa katika masuala ya kitaifa, nitatoa kauli yangu, nitafanya hivyo bila uwonga wowote,”
Balozi Dk Wilbroad Slaa, amesema hayo katika Kongamano la kusherehekea urithi wa Falsafa ya hayati DKT. John Magufuli, leo Machi 25, 2022
Kongamano hilo linafanyika katika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT), Mwanza pia linalenga kufanya tafakuri ya miaka sita ya utekelezaji wa falsafa aliyoitumia hayati Magufuli wakati akiomba ridhaa ya kuiongoza nchi 2015.
Mwinyi na JK wataenziwa na familia zao....wasilamu hawana utamaduni huu wa kukuza mambo ya kifamilia kuyafanya ni ya kitaifa....tunaona huko Zanzibar ukimtoa mwasisi Abeid Karume, wengine kama Jumbe na Abdul Wakil wanaenziwa kimya kimya na familia zao....Hii Nchi hii huwa siwaelewi, hivi huu urithi yeye Hayati Mkapa hakuwa nao??? Hivi hii kumkumbuka Magufuli kila mwaka inafanyika kwa Mkapa? Mwinyi na JK wakiondoka nao wataenziwa kila mwaka!!??
Linafanyika SAUT na ninasikia Vipindi Vimepigwa chini hiki chuo😂😂
Wana chatu au[emoji38][emoji38][emoji38] Mkuu Slaa wadanganye wajinga
Wadanganyika.[emoji38][emoji38][emoji38] Mkuu Slaa wadanganye wajinga
Na kudanganyika kwao🤔Wadanganyika.