McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Wakuu,
Hivi kwa hali ya siasa ilivyo sasa hivi nchini, huyu mzee hawatajaribu kuruka nae kweli? Maana hizi spana
Akiwa anazungumza kwenye mkutano wa No Reforms No Election, Slaa amesema kuwa huenda Samia hana tumbo la uzazi maana watu wanatekwa na yeye yuko kimya akiwa anajiita chura kiziwi.
"Lakini Samia ameweka auto pilot mamlaka haitumiki tena. Natoa mfano mmoja tu. Watu wamepotea wengi, vijana wameuliwa, utadhani Samia sio mwanamke mwenye tumbo la uzazi. Tena kwa kuwatukana anawaambia yeye ni chura kiziwi. Chura kiziwi hawezi kuwa Rais wa nchi. Hapa tulipo hatuna Rais wa nchi"