wildlife management

wildlife management

Wakuu mwenye ufahamu juu ya corse ya wildlife management in detail, hasa upande wa ajira naomben msaada.
Unaweza kajiriwa sekta ya maliasili kuanzia Tanapa, TAWA, au Ngorongoro CAA, hivyo muhimu ujue kuwa ajira inategemea mambo mengi souwe mvumilivu. Pia unaweza kuajiriwa mashirika ya kitaifa na kimataifa ya uhifadhi na mazingira
 
Back
Top Bottom