Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kajiriwa sekta ya maliasili kuanzia Tanapa, TAWA, au Ngorongoro CAA, hivyo muhimu ujue kuwa ajira inategemea mambo mengi souwe mvumilivu. Pia unaweza kuajiriwa mashirika ya kitaifa na kimataifa ya uhifadhi na mazingiraWakuu mwenye ufahamu juu ya corse ya wildlife management in detail, hasa upande wa ajira naomben msaada.