CHIPESI NAMISUKU
Member
- Oct 7, 2019
- 51
- 157
“Sisi tumekuja bungeni si chini ya mara moja, kwa TUME hii tuliyo nayo. Tuulizeni TULISHINDAJE, tuulizeni tulitumia MBINU zipi?. Ili anayekuja kugombea ajue MBINU na kuacha KULIA kwamba tume hii SIO huru,"
Pia soma > Wilfred Lwakatare arejea CUF baada ya kufutwa uanachama CHADEMA. Kutumika kuiangamiza CHADEMA
#Note Nilichogundua ni kwamba, wanasiasa wa Chadema wakistaafu siasa au kuhama Chadema huwa ndipo upande wa ubongo unaoshughulika na 'BUSARA na UKWELI' unapoanza kufanya kazi yake vizuri.
Huenda ndiyo maana hata wale wabunge wa Viti maalumu wa Chadema walipohama walijikuta wanatapika ukweli wote hata uliofanyika gizani, sasa hivi tunamsikia Peter Lijualikali akieleza jinsi michango ya wabunge na ruzuku ya chama inavyotafunwa.
Karibu tuzunguke moto maana simulizi ndiyo kwanza zinaanza