Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Nchi imejaa wanasiasa wehu hiiHoja nzuri
P
Rwakatare yeye anajua alishinda kwa medani zake wonders will never cease.Wabunge wote wa Upinzani hasa Chadema walishinda Ubunge kutokana na nguvu ya Umma la sivyo kusingekuwa na Mbunge hata mmoja,kuanzia Arusha, Ubungo,Temeke,Kawe na huko Bukoba.
Kipindi yupo chadema ulitaka aongee yaliyo kinyume na msimamo wa chama? Ulitaka aongee kinyume na mnayotaka kuyasikia?Hayo anayoyaongea ni sehemu ya package ya malipo ya kununuliwa. Hakuna namna ataongea ukweli ambao ni kikwazo kwa waliomnunua. Uzuri ni kuwa alishaongea sana kuwa tume ya uchaguzi sio huru, na hata kama asingeongea, sisi wenyewe tunajionea udhaifu wa hiyo tume. Yeye kanunuliwa kama sehemu ya kupindisha ukweli, ili kufunika hujuma iliyopangwa kufanyika kwenye huu uchaguzi mkuu. Ukishaona mtu anahama chama na kutoa tuhuma wakati anatoka, kisha akarudi na kuanza kutoa tuhuma za kule alikotoka, tena tuhuma zenyewe zikipingana na aliyokuwa akihubiri huko nyuma, jua huyo ni mwanasiasa tumbo.
Kipindi yupo chadema ulitaka aongee yaliyo kinyume na msimamo wa chama? Ulitaka aongee kinyume na mnayotaka kuyasikia?
Kamwe asingeweza kufanya hivyo na hao ndio wanasiasa, ni sawa na 2015 wengi tu walikula matapishi yao hawakuweza kwenda kinyume na msimamo wa chama. Muhimu ni kuelewa hao wanaotoka kwenye vyama na kuongea huongea Yale ambayo mwanzo hawakuweza kuongea wakati wakiwa kwenye hivyo vyama iwe upinzani au chama tawala.
Sasa viliyo vya tume huru vinakujaje ikiwa tuna nguvu hiyo ya Umma?Wabunge wote wa Upinzani hasa Chadema walishinda Ubunge kutokana na nguvu ya Umma la sivyo kusingekuwa na Mbunge hata mmoja,kuanzia Arusha, Ubungo,Temeke,Kawe na huko Bukoba.
Nishakwambia kuwa hao ndio wanasiasa, tatizo ni kwamba tunajifanya tunawaamini hawa wanasiasa pale wanapokuwa upinzani na wanaeleza tunayotaka kuyasikia ila wakitoka upinzani na kuanza kuongea tusiyotaka kuyasikia ndio tunaanza kuwaona wanafki kumbe kama ni unafki hao jamaa ni wanafki tu toka zamani.Alipokuwa CUF kabla ya kwenda cdm alikuwa anasema hiyo tume ni huru?
Nishakwambia kuwa hao ndio wanasiasa, tatizo ni kwamba tunajifanya tunawaamini hawa wanasiasa pale wanapokuwa upinzani na wanaeleza tunayotaka kuyasikia ila wakitoka upinzani na kuanza kuongea tusiyotaka kuyasikia ndio tunaanza kuwaona wanafki kumbe kama ni unafki hao jamaa ni wanafki tu toka zamani.
Hoja nzuri
P
“Sisi tumekuja bungeni si chini ya mara moja, kwa TUME hii tuliyo nayo. Tuulizeni TULISHINDAJE, tuulizeni tulitumia MBINU zipi?. Ili anayekuja kugombea ajue MBINU na kuacha KULIA kwamba tume hii SIO huru,"
Pia soma > Wilfred Lwakatare arejea CUF baada ya kufutwa uanachama CHADEMA. Kutumika kuiangamiza CHADEMA
#Note Nilichogundua ni kwamba, wanasiasa wa Chadema wakistaafu siasa au kuhama Chadema huwa ndipo upande wa ubongo unaoshughulika na 'BUSARA na UKWELI' unapoanza kufanya kazi yake vizuri.
Huenda ndiyo maana hata wale wabunge wa Viti maalumu wa Chadema walipohama walijikuta wanatapika ukweli wote hata uliofanyika gizani, sasa hivi tunamsikia Peter Lijualikali akieleza jinsi michango ya wabunge na ruzuku ya chama inavyotafunwa.
Karibu tuzunguke moto maana simulizi ndiyo kwanza zinaanza
Kama wale waliopo kwa Meko!Hawa watu wakiwa Chadema sijui DJ anawaroga maana huwa akili zinahama kabisa na kubakia kumsujudu DJ tu
Baada ya bunge kuvunjwa hautaonekana humu.Muda utaongea ....hizi CD tumezichoka sahivi...dogo tafuta kazi usije kuolewa.
Kufahidi ndiyo nini? Hivi shuleni mlienda kusoma ukilazaWe tulia sisi ambao tumefahidi hii nchi tuko kimya , nyie endeleeni kukaa kwenye Jua mkiwasikiliza wabunge na madiwani.
Nia yako us Younger MA USUKUMA inakufumba macho yakoHoja nzuri
P
Baada ya bunge kuvunjwa hautaonekana humu.
Nilikuliza SWALI ,,Nini hasara za kua na tume guru,hujawahi kunijibu!..Hoja nzuri
P