magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Never Understimate The Power Of Weed.Calum Chambers ni mchezaji wa Crystal palace na ndiye aliyecheza rafu ile....hata wewe unao wenzako mliofanana majina.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Never Understimate The Power Of Weed.Calum Chambers ni mchezaji wa Crystal palace na ndiye aliyecheza rafu ile....hata wewe unao wenzako mliofanana majina.
Vitu vingine waafrika ndiyo tunavikuza tu
Niliongea wiki jana juu ya kukataliwa kwa goli la Genk wengi wakapinga.
Niliongea wenzetu hawa (hasa kwenye michezo) kwa haraka mara nyingi hawapendi kutupa credit sie Blacks; hawataki kabisa kukubali kwa urahisi
Nyerere alisema dhambi ya ubaguzi mbaya sana, ni sawa na kula nyama ya mtu. Nina hakika vituko vingi vya style hii tutaendelea kuvishuhudia japo Waafrika wengi hawaamini hili.