Wilibrod Slaa na CHADEMA waache dharau kwa umma wa Watanzania

Thanks ,kama Kwa kuwa kwangu muislam Mimi ni gaidi,je what if Kwa wewe kuwa kwako mkristo nikikuta kuwa ni Shoga au lesbian,itasound good??
Uongozi wa Juu wa CCM juzi ulikuwa Vatican

Mwenyekiti, Katibu mkuu na Wajumbe wengine wa Halmashauri kuu akina Aziz nk

Tunakumbushana tu πŸ˜€
 
Ninemuona kwenye andiko lake anavyohangaika mara Padre Slaa, mara Dr. Slaa, mara mfa njaa kama vile ni house girl wake ameona nyumbani hamna chakula..

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
I have never mentioned anywhere padre mzinz wilbroad slaa kuwa ni Dr,udokta huo autoe wapi yule mwehu?
 
Kauli hiyo haitawafurahisha chadema,ila itampendeza Wilbroad Slaa,na wote wapo pamoja wakiandamana Kwa sababu ya kutaka demokrasia,I will never understand politics of this society...
Hata mke na mume mara moja wanaweza kuwa maadui na siku nyingine wakawa marafiki. Shida ya wote hukutanisha na kupatanisha watu. Sasa tatizo ni nini watu kukutana kwenye shida moja. Na wakiungana shida ni nini?
 
Hata mke na mume mara moja wanaweza kuwa maadui na siku nyingine wakawa marafiki. Shida ya wote hukutanisha na kupatanisha watu. Sasa tatizo ni nini watu kukutana kwenye shida moja. Na wakiungana shida ni nini?
Haina shida,tatizo ni kwamba hapo awali ndoa ilivunjika Kwa press conference,ila Kwa Sasa ndoa imerudi kimya kimya ndiyo tunauliza wanawafanya watanzania wajinga?
 
Kwani Lowasa bado yupo chadema?
Na unakasirika Dr Slaa kuwa miongoni mwa watu wanaotetea maslahi ya nchi?
Kesi ya ugaidi ilikuwa ni serikali ya JPM au Samia?
Mwacheni Dr Slaa afanye kazi zake za kutusemea watanzania, kama ulivyomuona kwenye sakata la bandari
Na isitoshe chadema na viongozi wake waamekubali uwepo wake, sasa wewe unawashwa na nini?
 
Nikasirike Slaa kuwa chadema? hujaelewa kinachozungumzwa,Slaa aliondoka chadema Kwa mbwembwe na Press conference,Leo anarudi kimya kimya Kwa mgongo wa maslahi ya TAIFA,wakati yupo na mwendazake huku chadema wakiozea jela na wengine kukimbia Nchi why alikuwa hasemi chochote?
 
Kwa kumshikirisha Wilbroad Slaa kwenye harakati Zao za maandamano,hayo maandamano yanacease kuwa Demonstrations,it turn out to be a picnic...!
 

Acha kupotosha. Lowasa hakuwa Kinara kwenye list of shame ...... Hata Kikwete na Mkapa walikuwemo kwenye list. Ila CCM na media zake walimvalia njuga Lowasa kwa kuwa hawakutaka apokee kijiti.

CCM walimtukana sana Lowasa alipohamia CDM .... ila aliporudi wakamkaribisha Nyumbani. Same kwa Sumaye, Nyarandu .... the list goes on. Sasa kama CDM wataamua kumkaribisha nyumbani, kuna shida gani!?

Nevertheless, Slaa keshasema wazi anawakilisha SAUTI YA WATANZANIA .... na Maandamano ya CDM ni kwa ajili ya Watatnzania wote. Lowasa kaamua kuwaunga mkono CDM kwa hili ... wewe tatizo lako liko wapi!?
 
Huna hoja zaidi ya kutukana watu!
 
What the hell is Saut ya watanzania?

And why hiyo Saut ya Watanzania iwe affiliated only with chadema and not other political parties?
 
Hivi unafikiri Slaa anaweza kuaminiwa tena kushirikishwa mambo ya ndani ya Chadema? Sasa hivi ni undugu wa nazi kukutana kwenye tenga tu si zaidi ya hapo.
 
What the hell is Saut ya watanzania?

And why hiyo Saut ya Watanzania iwe affiliated only with chadema and not other political parties?

SAUTI YA WATANZANIA haiko affiliated na CDM wala chama chochote ...!!
 
Hivi unafikiri Slaa anaweza kuaminiwa tena kushirikishwa mambo ya ndani ya Chadema? Sasa hivi ni undugu wa nazi kukutana kwenye tenga tu si zaidi ya hapo.
Well,Hilo mnalijua nyinyi Sasa,Kwa watu wengine Hiko kitu ni dharau na kashfa Kwa siasa na demokrasia ya nchi hii,kama hawalioni Hilo basi they must be so so craizy....
 
Yanajadiliwa hoja ya Leo na anachozungumza Yana hoja? Kwamba Jana ilikuwa vile au alisema vile si issue.Go Slaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…