Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khaa! Hili li Lucas Mwashambwa ni nyangarakasha lisilo na tija.Cc
Lucas Mwashambwa
Siasa Haina adui wa kudumu Wala rafiki kwenye masilahi ya Taifa.Friends and Our Enemies,
Sote tuna Kumbuka namna ambavyo Padre wilbroad slaa alivyokihama chama Hiko Cha chadema Kwa mbwembwe na mikogo na kusema kwamba Hawezi kukaa meza Moja na Fisadi Papa ambae by that time alikuwa anamaamisha ni marehem Lowasa.
Slaa aliweka wazi wazi kwamba hakushiriki dhambi hiyo la kumkaribisha mwizi na mla rushwa kwenye chama Cha chadema na kwamba yeye hawezi kula matapishi Yale aliyotapika kipjndi kile pale mwembe yanga kuwa katika ile list of shame,Lowasa alikuwa ndie kinara wao.
Padre Slaa,akawakimbia chadema na kusema kwamba hatajihusisha na shughuli za siasa Kwa chama chochote.
Katika Hali ya kushangaza Wilbroad slaa akaonekana kuwa partner mkubwa na RAFIKI wa mwendazake kiasi Cha kufikia hatua ya kupewa ubalozi wa Canada.
Wilbroad Slaa aliuchukua ubalozi na kuwahakikishia chadema na wapinzani kuwa hatogeuka nyuma na hata pale ambapo viongozi wa Chadema walipokamatwa na serikali ya mwendazake na kufungwa alisema kuwa kwenye suala la ugaidi viongozi wao wanahusika pia.
Soo baada ya mwendazake kwendazake na Mh Samia Suluhu kushika Dola,kazi hiyo ya ubalozi baada ya kustaafu wilbroad slaa hakupewa nafasi kwenye Regime ya Samia Hali iliyopelekea yeye kuwa ni mfa Njaa na mwenye kutapa tapa asijue wapi Kwa kushika,wapinzani alishawasaliti na CCM hawakuwahi kumkubali.
Lilipokuja Sakata la DP World Wilbroad Slaa akaibuka mafichoni kuanza kuimba ngonjera ile Kwa kutumia platform ya wanaharakati i.e Mwabukusi na Mdude,Hali ambayo ilimfanya taratibu taratibu aaanze kujipenyeza na kurudi machoni mwa WATANZIA ambao alishawaambia kuwa yeye na siasa bye bye.
Cha kushangaza,hivi Sasa Wilbroad Slaa amejiingiza kwenye harakati za siasa za chadema na kuonekana kila kwenye maandamano ya chadema huku akiimba slogans za people's power na katiba mpya.
Ni ukweli uso na shaka kuwa Wilbroad Slaa na Chadema ndoa Yao imerejea,lakini swali ni kwamba lini wameliweka wazi suala la kuunganisha nguvu wawili wao?na sababu za msingi ni zipi??
Wilbroad Slaa anaonesha wazi wazi ni mstaafu aliekula fedha zake za mafao hadi pensheni kiasi Cha kufikia kutanga Tanga na kukosa uhakika wa maisha.
CHADEMA na Wilbroad Slaa mnadhani watanzania ni wajinga wa kuwaonesha dharau za kiwango Hiko??
Canada ya swiden?Sasa,hata kama hoja ndogo ya Wilbroad Slaa kuwa balozi Canada unaipinga tutakaa hapa tujadili kitu Gani?
Lijinga haswaKhaa! Hili li Lucas Mwashambwa ni nyangarakasha lisilo na tija.
We ni big wa makalio tu ila kichwani hamna kituFriends and Our Enemies,
Sote tuna Kumbuka namna ambavyo Padre wilbroad slaa alivyokihama chama Hiko Cha chadema Kwa mbwembwe na mikogo na kusema kwamba Hawezi kukaa meza Moja na Fisadi Papa ambae by that time alikuwa anamaamisha ni marehem Lowasa.
Slaa aliweka wazi wazi kwamba hakushiriki dhambi hiyo la kumkaribisha mwizi na mla rushwa kwenye chama Cha chadema na kwamba yeye hawezi kula matapishi Yale aliyotapika kipjndi kile pale mwembe yanga kuwa katika ile list of shame,Lowasa alikuwa ndie kinara wao.
Padre Slaa,akawakimbia chadema na kusema kwamba hatajihusisha na shughuli za siasa Kwa chama chochote.
Katika Hali ya kushangaza Wilbroad slaa akaonekana kuwa partner mkubwa na RAFIKI wa mwendazake kiasi Cha kufikia hatua ya kupewa ubalozi wa Canada.
Wilbroad Slaa aliuchukua ubalozi na kuwahakikishia chadema na wapinzani kuwa hatogeuka nyuma na hata pale ambapo viongozi wa Chadema walipokamatwa na serikali ya mwendazake na kufungwa alisema kuwa kwenye suala la ugaidi viongozi wao wanahusika pia.
Soo baada ya mwendazake kwendazake na Mh Samia Suluhu kushika Dola,kazi hiyo ya ubalozi baada ya kustaafu wilbroad slaa hakupewa nafasi kwenye Regime ya Samia Hali iliyopelekea yeye kuwa ni mfa Njaa na mwenye kutapa tapa asijue wapi Kwa kushika,wapinzani alishawasaliti na CCM hawakuwahi kumkubali.
Lilipokuja Sakata la DP World Wilbroad Slaa akaibuka mafichoni kuanza kuimba ngonjera ile Kwa kutumia platform ya wanaharakati i.e Mwabukusi na Mdude,Hali ambayo ilimfanya taratibu taratibu aaanze kujipenyeza na kurudi machoni mwa WATANZIA ambao alishawaambia kuwa yeye na siasa bye bye.
Cha kushangaza,hivi Sasa Wilbroad Slaa amejiingiza kwenye harakati za siasa za chadema na kuonekana kila kwenye maandamano ya chadema huku akiimba slogans za people's power na katiba mpya.
Ni ukweli uso na shaka kuwa Wilbroad Slaa na Chadema ndoa Yao imerejea,lakini swali ni kwamba lini wameliweka wazi suala la kuunganisha nguvu wawili wao?na sababu za msingi ni zipi??
Wilbroad Slaa anaonesha wazi wazi ni mstaafu aliekula fedha zake za mafao hadi pensheni kiasi Cha kufikia kutanga Tanga na kukosa uhakika wa maisha.
CHADEMA na Wilbroad Slaa mnadhani watanzania ni wajinga wa kuwaonesha dharau za kiwango Hiko??
Ni mama mtu mzima lakini hana akiliWe ni big wa makalio tu ila kichwani hamna kitu
SureSiasa Haina adui wa kudumu Wala rafiki kwenye masilahi ya Taifa.
Suala la udini sio tu kwa Dr Slaa bali liko kwa watanzania wengi sana, samahani kwa kusema hivi.Slaa sio mwanasiasa Slaa ni mdini na huo ndiyo unamsumbua hakuna cha maslahi ya nchi wala nini kwa sababu hata yeye kwa umri wake akiteuliwa kuwa balozi haikuwa ni maslahi ya nchi bali alitanguliza maslahi binafsi vinginevyo angekataa uteuzi,sasa mwache aanguke barabarani kwa uzee ndiyo atajua.
Hakuna chuki mbaya kama ya udini.
Umeandika kuhusu dharau lakini haujaieleza.Dharau ipi?Friends and Our Enemies,
Sote tuna Kumbuka namna ambavyo Padre wilbroad slaa alivyokihama chama Hiko Cha chadema Kwa mbwembwe na mikogo na kusema kwamba Hawezi kukaa meza Moja na Fisadi Papa ambae by that time alikuwa anamaamisha ni marehem Lowasa.
Slaa aliweka wazi wazi kwamba hakushiriki dhambi hiyo la kumkaribisha mwizi na mla rushwa kwenye chama Cha chadema na kwamba yeye hawezi kula matapishi Yale aliyotapika kipjndi kile pale mwembe yanga kuwa katika ile list of shame,Lowasa alikuwa ndie kinara wao.
Padre Slaa,akawakimbia chadema na kusema kwamba hatajihusisha na shughuli za siasa Kwa chama chochote.
Katika Hali ya kushangaza Wilbroad slaa akaonekana kuwa partner mkubwa na RAFIKI wa mwendazake kiasi Cha kufikia hatua ya kupewa ubalozi wa Canada.
Wilbroad Slaa aliuchukua ubalozi na kuwahakikishia chadema na wapinzani kuwa hatogeuka nyuma na hata pale ambapo viongozi wa Chadema walipokamatwa na serikali ya mwendazake na kufungwa alisema kuwa kwenye suala la ugaidi viongozi wao wanahusika pia.
Soo baada ya mwendazake kwendazake na Mh Samia Suluhu kushika Dola,kazi hiyo ya ubalozi baada ya kustaafu wilbroad slaa hakupewa nafasi kwenye Regime ya Samia Hali iliyopelekea yeye kuwa ni mfa Njaa na mwenye kutapa tapa asijue wapi Kwa kushika,wapinzani alishawasaliti na CCM hawakuwahi kumkubali.
Lilipokuja Sakata la DP World Wilbroad Slaa akaibuka mafichoni kuanza kuimba ngonjera ile Kwa kutumia platform ya wanaharakati i.e Mwabukusi na Mdude,Hali ambayo ilimfanya taratibu taratibu aaanze kujipenyeza na kurudi machoni mwa WATANZIA ambao alishawaambia kuwa yeye na siasa bye bye.
Cha kushangaza,hivi Sasa Wilbroad Slaa amejiingiza kwenye harakati za siasa za chadema na kuonekana kila kwenye maandamano ya chadema huku akiimba slogans za people's power na katiba mpya.
Ni ukweli uso na shaka kuwa Wilbroad Slaa na Chadema ndoa Yao imerejea,lakini swali ni kwamba lini wameliweka wazi suala la kuunganisha nguvu wawili wao?na sababu za msingi ni zipi??
Wilbroad Slaa anaonesha wazi wazi ni mstaafu aliekula fedha zake za mafao hadi pensheni kiasi Cha kufikia kutanga Tanga na kukosa uhakika wa maisha.
CHADEMA na Wilbroad Slaa mnadhani watanzania ni wajinga wa kuwaonesha dharau za kiwango Hiko??
Nimekupenda bure!Udini maana yake ni nini??
Kama ni kuwa muislam ni udini sawa,Mimi siyo tuh mdini Bali unaweza hata kuniita ni mujahedeen...!!