Wilibrod Slaa na CHADEMA waache dharau kwa umma wa Watanzania

Aseme nini wakati Mbowe alimuuzia Lowasa Chama!
Hii chadema hujajua imefikaje hapa, kuna jasho la Dr Slaa
 
Naona ni wewe peke yako unayejua kwamba Wilboard Slaa alikuwa balozi wa Tanzania huko Canada.

Nilichanganya baina ya kuishi kwake Canada na kuteuliwa kwake kuwa balozi wa Sweden,but kulikuwa na taarifa kuwa by the time yuko Sweden alikuwa anahudumia pia balozi ya Canada
 
sina hakika ila maandamano ya mwanza dr alijiunga na cdm

ngoja nirejee ile video yake akisalimia mwanza ntasema kwa uhakika
 
CCM imekuwa ikiisakama Chadema kwa kutumia kila aina ya lugha hasa za dharau na kejeli huku CCM hiyo hiyo ikitafuta viongozi kutoka Chadema! Duniani hakuna adui wa kudumu.
 
We ni mke wa Slaa mpaka unampangia cha kufanya? Lowasa amekufa akiwa CCM wewe inakuuma nini? shame on you fanya kazi upate kipato
 
Mbona babu Makamba ni mdini wa waziwazi hatujakuona ukilalamika? acha atumie uhuru wake. shame on you
 
Unafikiri Slaa angekuwa mtu asiyependa mabadiliko na mwenye ubinafsi kama unavyoeleza angehangaikia nini mitaani huko wakati yeye tayari alishakuwa balozi? Si angelala tu ale pension yake?

Kipi kugumu hapo kuhangaika na police na kuwekwa ndani au kusifia CCM na kula pension? Kumbuka pia Slaa amepokonywa ubalozi kwa kuzungumzia swala ka DP. Je bado unafikiri Slaa anawahadaa watanzania?
 
Usitujumuishe Watanzania na mambo ya kijinga, watajuana wenyewe huko maana hawawezi kushika Dola.
 
Ni mtu muoga ,mnafiki na muongo sana
 
Siasa ni kama pynyeto ukianza uachi,slaa ana njaa like wise kikwete wote wamestaafu ila wapo tu siasani,siasa huwa hakuna kustaafu
 
Hilo jambo siyo la kulifumbiq macho na kulichukulia poa, Wilbroad Slaa alihama chadema na kuwakashifu kuwa ni mafisadi Kwa kumkaribisha Lowasa,Leo hii anaonekana front akiwa na makamanda kwenye maandamano ya chama,lini karudi Rasmi kwenye chama?
Siasa ni mchezo mchafu
 
Uolewe sasa ili upunguze gubu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…