Wilibrod Slaa na CHADEMA waache dharau kwa umma wa Watanzania

Sisi WanaCHADEMA tunasema hivi tunawakaribisha tena Dr.Slaa na Wakili Msomi Mwabukusi na YALIYOPITA SI NDWELE TUGANGE YAJAYO.

Huu ni Muda wa kupiga kazi pamoja ili kuling'a hili JINAMIZI.
 
Siasa Haina adui wa kudumu Wala rafiki kwenye masilahi ya Taifa.
 
We ni big wa makalio tu ila kichwani hamna kitu
 
Suala la udini sio tu kwa Dr Slaa bali liko kwa watanzania wengi sana, samahani kwa kusema hivi.
 
Umeandika kuhusu dharau lakini haujaieleza.Dharau ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…