Na hapo ndipo wanaposhindwanaKama Ruto hataiva sawa na Uhuru anaweza kupigwa chini kwenye uchaguzi ujjao ajichunge sana kwani Uhuru anaweza kumuibua Gideon Arap Moi na kumyooshea njia ili kulipa fadhila za Mzee Daniel Toroitich Arap Moi.
Mbona unajichanganya, unasema Ruto hana mpinzani halafu unasema 2022 mtampa mtu atakaye waambia ata wafanyia nini! mwisho unasema Kenya ni democratic. Sasa kwanini usisubili mpaka 2022 uwasikilize wagombea wengine ili utimize misingi ya kidemocrasia! Ruto unaye mpigia debe amesha sema atawafanyia nini? Wewe unavyo kubali Ruto hana mpinzani mapema kiasi hiki ata aje mtu na sera nzuri kiasi gani wewe kula yako ni kwa Ruto tu. Unatetea maslahi yako binafsi, acha kutudanganya kuhusu kusikiliza sera.William Ruto kwa sasa hana mpinzani tena siasa za Kenya zimeisha ukabila na swali nyeti kwa mwanasiasa yeyote ni kipi utatufanyia wala sio wewe ni wa kabila gani? 2022 will change Kenya completely as a fully fledged Democracy.
Eeeee!Acha wachague mwizi aibe kila kitu.watakaa kwa hewaMbona unajichanganya, unasema Ruto hana mpinzani halafu unasema 2022 mtampa mtu atakaye waambia ata wafanyia nini! mwisho unasema Kenya ni democratic. Sasa kwanini usisubili mpaka 2022 uwasikilize wagombea wengine ili utimize misingi ya kidemocrasia! Ruto unaye mpigia debe amesha sema atawafanyia nini? Wewe unavyo kubali Ruto hana mpinzani mapema kiasi hiki ata aje mtu na sera nzuri kiasi gani wewe kula yako ni kwa Ruto tu. Unatetea maslahi yako binafsi, acha kutudanganya kuhusu kusikiliza sera.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Ruto amefanya nini cha maana hapo Kenya! ni ajabu yani kuna watu wanamkubali sana huyu jamaa. Ila kila nikipata taarifa zake niza wizi tu. Any ways, You guys know better & all the best in 2022.Eeeee!Acha wachague mwizi aibe kila kitu.watakaa kwa hewa
William Ruto kwa sasa hana mpinzani tena siasa za Kenya zimeisha ukabila na swali nyeti kwa mwanasiasa yeyote ni kipi utatufanyia wala sio wewe ni wa kabila gani? 2022 will change Kenya completely as a fully fledged Democracy.
Wakiwa wanakaa kwa hewa we we bibie tunakukaribisha tz sawa eehhhEeeee!Acha wachague mwizi aibe kila kitu.watakaa kwa hewa
Hayati Mzee Jomo Kenyatta asingemuachia Moi.
Sio kabila lako huyo Ruto?Eeeee!Acha wachague mwizi aibe kila kitu.watakaa kwa hewa
Kufukua makaburi ni hatari kuliko unavyofikiri uridha tz tunatamani tuyazike upya.Huyu jamaa haya makashfa yake yamekua too much hadi uzalendo wangu kwake umeyumba, hii nchi inahitaji kiongozi ambaye hataogopa kufukua makaburi.
Anyway tusubiri yajayo, wote watajinasibu na itakua jukumu letu kufanya maamuzi kila mmoja wetu kivyake bila kushinikizwa au kulazimishwa.