Kenya 2022 Wiliiam Ruto kwa faulo hizo 2022 naona utafanikisha

Kenya 2022 General Election

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Naona unacheza faulo za kila namna kwa washindani wako hata wale unaohisi wataleta ushindani

Sasahivi nasikia huaminiani sana na uhuru kwani anaweza kukugeuka lakini unatumia nafasi yako barabaraaa kuhakikisha 2022 unatoboa

Ushauri mtumie vizur mr H ambaye umeamua awe mastermind wako ukifuata kila anachokushauri utafanikiwa
 
Kama Ruto hataiva sawa na Uhuru anaweza kupigwa chini kwenye uchaguzi ujjao ajichunge sana kwani Uhuru anaweza kumuibua Gideon Arap Moi na kumyooshea njia ili kulipa fadhila za Mzee Daniel Toroitich Arap Moi.
 
Na hapo ndipo wanaposhindwana
 
William Ruto kwa sasa hana mpinzani tena siasa za Kenya zimeisha ukabila na swali nyeti kwa mwanasiasa yeyote ni kipi utatufanyia wala sio wewe ni wa kabila gani? 2022 will change Kenya completely as a fully fledged Democracy.
Mbona unajichanganya, unasema Ruto hana mpinzani halafu unasema 2022 mtampa mtu atakaye waambia ata wafanyia nini! mwisho unasema Kenya ni democratic. Sasa kwanini usisubili mpaka 2022 uwasikilize wagombea wengine ili utimize misingi ya kidemocrasia! Ruto unaye mpigia debe amesha sema atawafanyia nini? Wewe unavyo kubali Ruto hana mpinzani mapema kiasi hiki ata aje mtu na sera nzuri kiasi gani wewe kula yako ni kwa Ruto tu. Unatetea maslahi yako binafsi, acha kutudanganya kuhusu kusikiliza sera.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eeeee!Acha wachague mwizi aibe kila kitu.watakaa kwa hewa
 
Kumba jamaa anapendwa na wananchi...sema nkisikia ana makashfa ya ufisadi na rushwa kumbe walikua wanamchafua au ni kweli?
William Ruto kwa sasa hana mpinzani tena siasa za Kenya zimeisha ukabila na swali nyeti kwa mwanasiasa yeyote ni kipi utatufanyia wala sio wewe ni wa kabila gani? 2022 will change Kenya completely as a fully fledged Democracy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gideon Moi anaweza kuwa Raisi Mzuri wa Kenya na Kwa sasa ameshajifunza kilugha Chao na Pombe alishapunguza,Ruto ajichunge Safari hii.
 
Huyu jamaa haya makashfa yake yamekua too much hadi uzalendo wangu kwake umeyumba, hii nchi inahitaji kiongozi ambaye hataogopa kufukua makaburi.
Anyway tusubiri yajayo, wote watajinasibu na itakua jukumu letu kufanya maamuzi kila mmoja wetu kivyake bila kushinikizwa au kulazimishwa.
 
Kufukua makaburi ni hatari kuliko unavyofikiri uridha tz tunatamani tuyazike upya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ruto ni fisadi lililo kubuhu, 92"kala na akina jirongo, kaiba shamba la airport authority na kujenga hoteli hapo, muteshi kajaribu kumuibia shamba lake 2007 huko eldoret.... Jamaa hafai kabisa uyoo, atairudisha nchi ile miaka ya nyayo akishika dola huyoo! Cc jacob juma.
 
Loot all
FB_IMG_1551667289590.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom