Will Hov and Kanye break-up after Ye's rants??

Kuna wengine wana comment kama vile wameelewa thread haha
 
Kanye kaongea kile cha moyoni kuhusu mtu ambaye anaona ni mchizi wake wa karibu.

Ishu ya Tidal, Apple na Spotify ni ujinga mwingine wa kutaka kuharibu na kugawa wasanii na washabiki, leo tunaambiwa Views inakuwa released exclusively kwenye Apple Music for 6 weeks au hapa Bongo ambapo hata huduma ya Tidal haipatikani

Ishu ya Beef ya Meek na Drake ipo kibiashara na Jay is about bizness that i cant fault him. Lakini upande mwingine kimetukosesha radha ya mziki mzuri (imagine Drake ft Jay Z and Yeezus) na ndicho Kanye ana mind ye anataka atengeneze mziki mzur watu wafurahi(we gonna be all dead in 100 years let the kids have the music-Yeez tweet)

Ishu ya Cater family na West's kuwa close kiasi anachotaka Kanye akiwezi kuwa Bey na Jay sio watu wa kuuza Sura kama familia ya Kanye.
 

Tidal is there to change the game, to artists' benefits. It's just that most of them cats lack cojones. Hov is playing his role, that is to show them dudes "how to move in a room full of vultures". He said "Industry too shady, it needs to be taken over". So there he is, taking over.


What Ye did, is some poosey !sh. Shoulda called Hov and talk as men, or do it only he knows how to do it better, let it out on tracks. I too, miss the old Kanye. I miss the Kanye they told to "toughen up, put some base in your voice" while others went "lighten up, put some Mase in your voice", and he let it all in one ear out the other and do Ye. The new Kanye is caught up in some fcuked up world of them Karhoeshians. My man is headed for self destruction.

Jay coulda opted outta Drake's joint for too many reasons. Drake been feeling some typa way lately, taking shots at everyone, Jay included. So that could also be the reason Jay didn't wanna fcuk with him.
 
Jay-Z and Kanye West are both over the hill. One has to only listen to their last albums and compare with their earlier works to figure that out.

They are going by name recognition. They have all started pimping out their wives for lack of relevance.
 
Sijui kwann lkn naangalia hii ishu kwa angle nyingine naona tofauti kabisa
Kwanza Beyonce Hataki ukaribu kabisa na Kim Kardashian,nikama wanafake hv, na naamini pia Beyonce anamlimit sana Jigger kwenye ukaribu wake na West...Beyonce hataki hata watoto wao wawe marafiki...Na Kanye hilo linamuumiza maana kabla ya Kim Kardashian urafiki wa ukweli kati ya jigger na Kanye ulikua tight!
 
Hizo zote ni kelele tu. Ukitaka Hip hop mbona zipo za kutosha, hawa mafogo billionear wanazingua stim sometimes. Hapo Brooklyn microphone moja haitoshi achana na hizi habari za wakina Gulamali. JF haijawahi kumtaja huyu mtu, why?

Kuna bwana mdogo anaitwa COZZ daaah hatari sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…