Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
you are die hard jigga fan...i dedicate ether to you
Kuna wengine wana comment kama vile wameelewa thread haha
cd,dvd,home theater age...we usta have a boom box at home back in the ol' good daysRight, can't seem to find that sh!t. Can I borrow your tape and a boombox, so I can listen to it?
cd,dvd,home theater age...we usta have a boom box at home back in the ol' good days
Meek Mill yupo na Tidal ya Jay Z, drake anamkataba na Apple Views imetoka under Apple.Sijaelewa connection ya Jay Z na Meek Mill.....
Kanye kaongea kile cha moyoni kuhusu mtu ambaye anaona ni mchizi wake wa karibu.
Ishu ya Tidal, Apple na Spotify ni ujinga mwingine wa kutaka kuharibu na kugawa wasanii na washabiki, leo tunaambiwa Views inakuwa released exclusively kwenye Apple Music for 6 weeks au hapa Bongo ambapo hata huduma ya Tidal haipatikani
Ishu ya Beef ya Meek na Drake ipo kibiashara na Jay is about bizness that i cant fault him. Lakini upande mwingine kimetukosesha radha ya mziki mzuri (imagine Drake ft Jay Z and Yeezus) na ndicho Kanye ana mind ye anataka atengeneze mziki mzur watu wafurahi(we gonna be all dead in 100 years let the kids have the music-Yeez tweet)
Ishu ya Cater family na West's kuwa close kiasi anachotaka Kanye akiwezi kuwa Bey na Jay sio watu wa kuuza Sura kama familia ya Kanye.
Kuna bwana mdogo anaitwa COZZ daaah hatari sana.Hizo zote ni kelele tu. Ukitaka Hip hop mbona zipo za kutosha, hawa mafogo billionear wanazingua stim sometimes. Hapo Brooklyn microphone moja haitoshi achana na hizi habari za wakina Gulamali. JF haijawahi kumtaja huyu mtu, why?
![]()
[emoji23]you are die hard jigga fan...i dedicate ether to you