Spartacus boy
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,727
- 3,464
Utani mbaya. Mc mkali wa huko Usa Chris rock kajikuta na aibu baada ya kupigwa kibao na Mshindi wa tuzo ya Oscar ; Will smith baada ya kumtania mkewe Jada pinkett smith.
Utani mbaya ulomfanya Smith anyenyuke toka alipokaa hadi mbele ya stage na kumpiga bonge la bao.
Alivorudi kukaa Smith akamuambia '' Get out my wife's name out of your fxxking mouth''
Aisee. Uzi tayari
Utani mbaya ulomfanya Smith anyenyuke toka alipokaa hadi mbele ya stage na kumpiga bonge la bao.
Alivorudi kukaa Smith akamuambia '' Get out my wife's name out of your fxxking mouth''
Aisee. Uzi tayari