safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Huyo mchekeshaji alisema kitu gani mpaka apigwe wakuu ?Aisee hata mimi ningekung'oa meno kadhaa ya barazani, huo unaouita ubwege ndiyo uanaume wenyewe sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mchekeshaji alisema kitu gani mpaka apigwe wakuu ?Aisee hata mimi ningekung'oa meno kadhaa ya barazani, huo unaouita ubwege ndiyo uanaume wenyewe sasa.
Take it easy ukikasirika jilipue.Hivi huwa mkikaa bila kuchokoza imani za wengine vijambio huwa vinawapwita?
Mbele ya Mademu... Alisema deogratias kuwa eti.
Hata Yesu alipigwa kabebeshwa msalaba akina magdalena wakaja kumlilia na kumpa pole, akaona hawezi kuwa mnyonge mbele ya mademu, akawambia mbona mimi fresh, jililieni nyinyi na watoto wenu akakaza.
Ila alipofika kwa wana akina petrol, akawambia petrol nimechoka hawa mbwa wataniua nisaidie msalaba. [emoji1787][emoji1787]
Hata mimi nlicheka kichizi na alimaliza hivyo akaondoka stejini akaacha watu wanaangua vicheko, maana story ilianzia shule, ukichapwa mbele ya mademu unakaza kama huumii.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka kwa sauti peke yangu
Huo mstari wa mwisho [emoji23][emoji23]
Ha ha ha....Mbele ya Mademu... Alisema deogratias kuwa eti.
Hata Yesu alipigwa kabebeshwa msalaba akina magdalena wakaja kumlilia na kumpa pole, akaona hawezi kuwa mnyonge mbele ya mademu, akawambia mbona mimi fresh, jililieni nyinyi na watoto wenu akakaza.
Ila alipofika kwa wana akina petrol, akawambia petrol nimechoka hawa mbwa wataniua nisaidie msalaba. [emoji1787][emoji1787]
Yani mjinga alivyounga matukio nilicheka kichiziHa ha ha....
Wee jamaa umenichekesha Sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila kiuhalisia aliongea ukweliYani mjinga alivyounga matukio nilicheka kichizi
Ishu sio kampiga ishu ni huyo mch3keshaji kas3maje mpaka apigwe ?
Hata mimi nlicheka kichizi na alimaliza hivyo akaondoka stejini akaacha watu wanaangua vicheko, maana story ilianzia shule, ukichapwa mbele ya mademu unakaza kama huumii. Na ukikaza ticha anamaindi unamwaibiasha mbele ya mademu.
Wakristo hawatumii sentensi ya "waliowaletea kitabu"Take it easy ukikasirika jilipue.
Kwanza anaitwa Deogratias hivyo usitegemee labda ni wa dhehebu lingine, mimi mwenyewe ni mkristo.
Waafrika mnajikuta mnamjua Yesu kuliko waliowaletea kitabu.
Naona unawaza sana vijambio
Sema nimesoma sehemu kuwa chris kagoma kumfunguliwa mashtaka.Mke wa Will ana ugonjwa unaitwa Alopecia ambao husababisha nywele kunyonyoka na mke wa Will hana nywele
Sasa Chris akatania jokes hapo ila baadae kilichomuudhi Will ni pale alipomfananisha na movie moja aliekuwemo Demi Moore akiwa kanyoa nywele G1 JANE 2”
Hapo hata wewe usingekubali mtu ataniwe kwa maradhi yake View attachment 2166751
Huo mtazamo wako na haufuti kuwa mimi ni mkristoWakristo hawatumii sentensi ya "waliowaletea kitabu"
Umenichekesha kwa sauti daaah sikutegemea [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]Bado yule boda boda anayependa kutumwa tumwa na mke wangu.
Namtumia hii afu nakausha
Sema nimesoma sehemu kuwa chris kagoma kumfunguliwa mashtaka.
Yani wachekeshaji anaweza anza utani ambao unakuuma tena mbele ya watu unajifanya unacheka kumbe unaumia na watu wakicheka anaendelea
Kumpenda na kumdefend mkeo ni ubwege?Ila Will ame catch kirahisi sana,itakuwa yule mwanamke amemwambia "Yaani mimi nataniwa we unachekelea tu hapa" jamaa ikabidi akatae unyonge.
Jada amemshika jamaa pabaya sana,anapenda kupitiliza aisee,
Hadi namuonea huruma mshkaji amekuwa kana bwege flani hivi
Bora tu lipite yaishe juu kwa juu.Ni criminal offence ila kwa kuwa wanajuana sana naona kupotezea ni sawa tu
Ni kosa kubwa kafanya Will ila ni hasira
Watayamaliza ila akifungua kesi ni mbaya sana kumpiga mtu unaweza kufungwa