Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Sio mtama kama ule wa mchovu?Kwa hii kauli inatakiwa upigwe kofi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio mtama kama ule wa mchovu?Kwa hii kauli inatakiwa upigwe kofi
[emoji28][emoji28][emoji28]Mbele ya Mademu... Alisema deogratias kuwa eti.
Hata Yesu alipigwa kabebeshwa msalaba akina magdalena wakaja kumlilia na kumpa pole, akaona hawezi kuwa mnyonge mbele ya mademu, akawambia mbona mimi fresh, jililieni nyinyi na watoto wenu akakaza.
Ila alipofika kwa wana akina petrol, akawambia petrol nimechoka hawa mbwa wataniua nisaidie msalaba. [emoji1787][emoji1787]
Kwahyo wee kwako mkeo kusimangwa mbele yako ni sawa?Ila Will ame catch kirahisi sana,itakuwa yule mwanamke amemwambia "Yaani mimi nataniwa we unachekelea tu hapa" jamaa ikabidi akatae unyonge.
Jada amemshika jamaa pabaya sana,anapenda kupitiliza aisee,
Hadi namuonea huruma mshkaji amekuwa kana bwege flani hivi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tena kamsitiri sana kumpiga kibao tu
Huo mkono angempiga ngumi jamaa angevunjika taya [emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini police wataliangalia hili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hadi machozi uwiiiihMbele ya Mademu... Alisema deogratias kuwa eti.
Hata Yesu alipigwa kabebeshwa msalaba akina magdalena wakaja kumlilia na kumpa pole, akaona hawezi kuwa mnyonge mbele ya mademu, akawambia mbona mimi fresh, jililieni nyinyi na watoto wenu akakaza.
Ila alipofika kwa wana akina petrol, akawambia petrol nimechoka hawa mbwa wataniua nisaidie msalaba. [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bado yule boda boda anayependa kutumwa tumwa na mke wangu.
Namtumia hii afu nakausha
Mtama,ukiangukia chogo ni murder kesiSio mtama kama ule wa mchovu?
Hakuna mkiristo wa kweli anaweza kuandika utani kama huo let alone "waliowaletea kitabu"!Wakristo hawatumii sentensi ya "waliowaletea kitabu"
Ni bora alivyompiga mkuu.Kuna mjadala mkubwa sana kwenye Radio hapa London yaani tangu asubuhi watu wanatoa maoni yao kuhusu hili tukio
Na maradhi yake yamekuwa issue kubwa sana
Ila kwenye radio wamealikwa mpaka psychologists na wengi kutoka kwenye jamii zote
Ila wengine wanasema apigwe tu na wengine wanasema ingekuwa vizuri zaidi angeenda akachukua Mic [emoji441] na kusema kuwa alichofanya sio kizuri na hapo angekuwa kamshinda
Kwa wasiojua pia Will Smith ana tatizo la hasira za haraka na ameenda mara nyingi kwa matibabu
Yule alitaka kufosi,yaani katoka alipotoka kakuta jamaa anaongea na waandishi akamsogelea,ndio akataka kumbusu mdomoni,alitandikwa vizuri mbele ya kamera[emoji16]Mbna wanae m1 shoga, na mwingne msagaji? Na ana hang nao km kawaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utani ulivuka mipaka.Jamii ya watu weusi haina uvumilivu
Apigwe tuu mkuuUtani ulivuka mipaka.
Alimtania mke wa jamaa kuhusu tatizo lake la kupoteza nywele.
Ni ugonjwa huwezi kufanyia utani tena unaye mtania yupo hapo hapo mbele ya mamia ya watu na television.
Ni bora alivyompiga mkuu.
Tutqmpa udhuru smith kwa sababu ya ugonjwa wake wa hasira hana kosa.
Ila huyo mchekeshaji atajifunza maisha yake yote vipi achekeshe watu.
Wachekeshaji wengi ndio walivyo yaani hawawezi kuchekesha watu mpaka wakejeli wengine.
Kwa hii kauli inatakiwa upigwe kofi
AlimkomeshaKweli kabisa mkuu ajifunze in a hard way
Yuko mmoja kwenye Churchill Show anaitwa MCA Tricky kutwa kumtaja Ali Kiba sijui alimkosa nini [emoji23][emoji23]
Hata sijui kama Kiba anajua hata churchill show
Amelia sana baada ya hapo, kaomba msamaha kwa wote ila sio Chris.
Utani kaguswa pabaya.
Na amesema niko abused na watu huwa niko kimya ila kuna mahali mtu unashindwa kuvumilia dharau hizi.
Chris kaonesha u-professional wake pale kaendelea vizuri kaenda nyuma kuugulia maumivu. Hile imesaidia ratiba kumalizika.Ila nimeangalia hawakuwa wanaigiza hawa kweli maana licha yakupigwa kibao akawa anaendelea kuchekesha
Tatizo watu wanamshangaa kwamba utani unapigana lakini kutombewa mke wako unaona poa.Kuhusu mke wangu nitakuvunja hata kiuno bila kujali eneo la tukio au hadhira iliyotuzunguka.
Safi sana Will Smith.
Kakataa ku press chargeAliyepigwa kibao anaweza kutengeneza hela ndefu tu kwenye hilo tukio lililomfika.