Spartacus boy
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,727
- 3,464
Ana bahati amepigwa kofi na mtu wa hollywood, angepigwa na wababe wa kusini wa toliwud kina singham au adam mchovu angedunda juu chin
Kumbe hata ulaya wanaume wanashikwa pabaya,ingekuwa huku kwetu wangesema tayari kashalishwa mauchafu au karogwa...Ila Will ame catch kirahisi sana,itakuwa yule mwanamke amemwambia "Yaani mimi nataniwa we unachekelea tu hapa" jamaa ikabidi akatae unyonge.
Jada amemshika jamaa pabaya sana,anapenda kupitiliza aisee,Hadi namuonea huruma mshkaji amekuwa kana bwege flani hivi
Hata mchomvu na Mbasha walikua wanaigiza aisee.Ila nimeangalia hawakuwa wanaigiza hawa kweli maana licha yakupigwa kibao akawa anaendelea kuchekesha
Aisee hata mimi ningekung'oa meno kadhaa ya barazani, huo unaouita ubwege ndiyo uanaume wenyewe sasa.Ila Will ame catch kirahisi sana,itakuwa yule mwanamke amemwambia "Yaani mimi nataniwa we unachekelea tu hapa" jamaa ikabidi akatae unyonge.
Jada amemshika jamaa pabaya sana,anapenda kupitiliza aisee,Hadi namuonea huruma mshkaji amekuwa kana bwege flani hivi