The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Namkubali sana huyo dingi.Denzel ana hekima sana View attachment 2167502
Namkubali sana huyo dingi.
Saa hizi Chris Rock akimuudhi kidogo tu mtoto wake mdogo, utamsikia mtoto huyo akisema, baba ntakusemea kwa Will Smith akufanye tena kama kwenye usiku wa tuzo za OscarNdio asili yetu
Mpoki atakula ngumibado mpoki...
Everybody hates Chris aisee mle jamaa aliua sana
Jamaa kabaki kuwa joka la kibisaIla Will ame catch kirahisi sana,itakuwa yule mwanamke amemwambia "Yaani mimi nataniwa we unachekelea tu hapa" jamaa ikabidi akatae unyonge.
Jada amemshika jamaa pabaya sana,anapenda kupitiliza aisee,
Hadi namuonea huruma mshkaji amekuwa kana bwege flani hivi
Na bila kumtandika Chriss kibao huo "utani" ungeishasahaulika kitambo!Nakubaliana it’s a bad joke, Will anaujua ugonjwa wa mke wake kwanini alicheka mwanzo na Jada mwenyewe hakucheka?
Chris kakosea na tunajua mara nyingi wachekeshaji wanavuka mpaka lakini kwa level ya Will Smith ange deal nae backstage.
We kidogo kimalkia unakijua jua, kwani ndio jamaa alisemaje mpaka akachapwa kibao? [emoji23]Ila Will bana sasa mke wake mbona ana viserengeti kibao na anakaa kimya
Unataka kusema will kamuonea kimbaumbau kama mimi, angekuwa ni kama JituMirabaMinne asingethubutu kufanya chochote[emoji23]
Ingekuwa Bongo tungesema "limbwata"..Kile naona ni a desperate attempt from a man seeking validation from a woman that undermines him publicly
Huyu mwanamke kamchanganya sana mshkaji anafanya mambo ya ajabu sana
Mapenzi upofu...hasa yakikoleaIla Will ame catch kirahisi sana,itakuwa yule mwanamke amemwambia "Yaani mimi nataniwa we unachekelea tu hapa" jamaa ikabidi akatae unyonge.
Jada amemshika jamaa pabaya sana,anapenda kupitiliza aisee,
Hadi namuonea huruma mshkaji amekuwa kana bwege flani hivi
It was planned.....Aliyepigwa kibao anaweza kutengeneza hela ndefu tu kwenye hilo tukio lililomfika.
Bado hiki kibushuti steve kitapigwa soon.Ni bora alivyompiga mkuu.
Tutqmpa udhuru smith kwa sababu ya ugonjwa wake wa hasira hana kosa.
Ila huyo mchekeshaji atajifunza maisha yake yote vipi achekeshe watu.
Wachekeshaji wengi ndio walivyo yaani hawawezi kuchekesha watu mpaka wakejeli wengine.