Will Smith amtandika kibao Chris Rock usiku wa tuzo za Oscar

Will Smith amtandika kibao Chris Rock usiku wa tuzo za Oscar

Smith hana akili.

Unapiga anaemtqnia mke wako ama anaemtomba mke wako?

Unampiga mtaniaji unamuacha Agust Alisina anaemtomba mkeo, hizi si bangi?

Busara sifuri kabisa. Rock staarabu sana, mimi tungefumuana pale pale jukwaani *****.
 
What if this guy made the joke?

View attachment 2167384

He was shocked as well
IMG_4737.jpg
 


Mononeon - "the Willsmith Chrisrock slap song"​

 
Ila Will ame catch kirahisi sana,itakuwa yule mwanamke amemwambia "Yaani mimi nataniwa we unachekelea tu hapa" jamaa ikabidi akatae unyonge.

Jada amemshika jamaa pabaya sana,anapenda kupitiliza aisee,

Hadi namuonea huruma mshkaji amekuwa kana bwege flani hivi
Jamaa kabaki kuwa joka la kibisa

Sad situation
 
Nakubaliana it’s a bad joke, Will anaujua ugonjwa wa mke wake kwanini alicheka mwanzo na Jada mwenyewe hakucheka?

Chris kakosea na tunajua mara nyingi wachekeshaji wanavuka mpaka lakini kwa level ya Will Smith ange deal nae backstage.
Na bila kumtandika Chriss kibao huo "utani" ungeishasahaulika kitambo!
 
Sawa will kaact kiubaba baba, lakini kabla ya hili tukio naona kama will huyu mwanamke anampelekesha kidogo, kibongo bongo tunasema will hapindui kwa jada.

Kuna msanii wa bongo aliimba hata akimkuta kitandani anaifinyia kwa ndani hamuachi, siikumbuki nyimbo.
 
Tumepata dawa za akina mjuni, jot na ma mc wa bongo wanaoamua kumtaja mtu na kuropokwa maneno hadharani
 
Kile naona ni a desperate attempt from a man seeking validation from a woman that undermines him publicly

Huyu mwanamke kamchanganya sana mshkaji anafanya mambo ya ajabu sana
Ingekuwa Bongo tungesema "limbwata"..
Ila kwa kuwa ni nje.. tutatafuta sababu nyingine..[emoji1][emoji1]

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Ila Will ame catch kirahisi sana,itakuwa yule mwanamke amemwambia "Yaani mimi nataniwa we unachekelea tu hapa" jamaa ikabidi akatae unyonge.

Jada amemshika jamaa pabaya sana,anapenda kupitiliza aisee,

Hadi namuonea huruma mshkaji amekuwa kana bwege flani hivi
Mapenzi upofu...hasa yakikolea
 
Ni bora alivyompiga mkuu.

Tutqmpa udhuru smith kwa sababu ya ugonjwa wake wa hasira hana kosa.

Ila huyo mchekeshaji atajifunza maisha yake yote vipi achekeshe watu.

Wachekeshaji wengi ndio walivyo yaani hawawezi kuchekesha watu mpaka wakejeli wengine.
Bado hiki kibushuti steve kitapigwa soon.
Kimemwambia mwana FA akamzirie bibi yake kimepigwa chini kinangangana tu km kunguni
 
Back
Top Bottom