Will Smith amtandika kibao Chris Rock usiku wa tuzo za Oscar

Kakataa ku press charge
Hawezi kufanya hivyo,ameona tu braza kapanic tu.
Hata pale alikana Bro i mean G1 Jane Bro.😁
Jamaa ndo kwanza kampigia mikelele achana na mke wangu kwenye domo lako chafu hilo.
Nimependa Chris kawa mpole tu.
Sawa braza simtaji tenaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Udayuthi.
 
Mtu anaridhia na kukubali Mkewe kuziniwa (Udayuthi wa hali ya juu kabisa) , lakini eti anakasirika kwa utani, usanii mtupu. Halafu imekuwaje watu wanaojidai kuamini katika "Freedom of Speech" na kujidai kupinga "Toxic masculinity " wanampa standing ovation mtu aliyempiga mchekeshaji?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Aisee hata mimi ningekung'oa meno kadhaa ya barazani, huo unaouita ubwege ndiyo uanaume wenyewe sasa.
Si huyu mwanamke alitoka hadharani na kusema amecheat kwa mumewe
Smith kashikiliwa hapindui hageuzi
Sana sana amejiaibisha mwenyewe Jada sio mwanamke wa kumtetea kihivyooo
Smith alitaka kuprove watu wrong na attention pia....amefanikiwa then what
The whole family ni weird
Chris ndio mshindi hakutaka kujiabisha alipotezea Smith amebaki kuomba msamaha huku na kule
Smith is a spoiled brat period!
 
For the info wapo kwenye open relationship na sehemu ya makubaliano ni kila mmoja kuwa na ruhusa ya kutoka nje ya ndoa so mambo ya kucheat hayapo hapa unamuonea tu dada wa watu.
 
Mkuu Inaonekana hata mkeo akishikwa tako hadharani utaapply level of maturity sio?
 
Nadhani hata angekuwa kimya ungesema bwege acha kuwa bingwa wa reverse mzee.Kamwambia saa ngapi wakati alikaa na Lupitha Nyong'o?
 
Mkuu Inaonekana hata mkeo akishikwa tako hadharani utaapply level of maturity sio?
Mwenye kufanya kosa ameomba msamaha baada ya kubaini amefanya kosa kubwa sana ambalo halina namna yoyote unaweza kulihalalisha........... case closed

BTW jamaa ana mind kiasi kile kwa Chris kufanya joke na kaugonjwa ka mkewe wakati kuna viserengeti boy vinachezea kabisa kitumbua cha mkeweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Na si niliwahi sikia kama walikua wanamchapia?
 
Will Smith kuonyesha ushamba wake hadharani, Hovyo kabisa. Bahati nzuri Criss Rock ni mtu mstaarabu sana, bila ya hivyo Mahakama ingelifanya kazi yake na mamilioni yangelimtoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…