Will Smith amtandika kibao Chris Rock usiku wa tuzo za Oscar

Will Smith amtandika kibao Chris Rock usiku wa tuzo za Oscar

Sawa will kaact kiubaba baba, lakini kabla ya hili tukio naona kama will huyu mwanamke anampelekesha kidogo, kibongo bongo tunasema will hapindui kwa jada.

Kuna msanii wa bongo aliimba hata akimkuta kitandani anaifinyia kwa ndani hamuachi, siikumbuki nyimbo.
Udayuthi.
 
Mtu anaridhia na kukubali Mkewe kuziniwa (Udayuthi wa hali ya juu kabisa) , lakini eti anakasirika kwa utani, usanii mtupu. Halafu imekuwaje watu wanaojidai kuamini katika "Freedom of Speech" na kujidai kupinga "Toxic masculinity " wanampa standing ovation mtu aliyempiga mchekeshaji?
 
Hawezi kufanya hivyo,ameona tu braza kapanic tu.
Hata pale alikana Bro i mean G1 Jane Bro.[emoji16]
Jamaa ndo kwanza kampigia mikelele achana na mke wangu kwenye domo lako chafu hilo.
Nimependa Chris kawa mpole tu.
Sawa braza simtaji tena[emoji23][emoji23][emoji23].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Aisee hata mimi ningekung'oa meno kadhaa ya barazani, huo unaouita ubwege ndiyo uanaume wenyewe sasa.
Si huyu mwanamke alitoka hadharani na kusema amecheat kwa mumewe
Smith kashikiliwa hapindui hageuzi
Sana sana amejiaibisha mwenyewe Jada sio mwanamke wa kumtetea kihivyooo
Smith alitaka kuprove watu wrong na attention pia....amefanikiwa then what
The whole family ni weird
Chris ndio mshindi hakutaka kujiabisha alipotezea Smith amebaki kuomba msamaha huku na kule
Smith is a spoiled brat period!
 
For the info wapo kwenye open relationship na sehemu ya makubaliano ni kila mmoja kuwa na ruhusa ya kutoka nje ya ndoa so mambo ya kucheat hayapo hapa unamuonea tu dada wa watu.
 
Sina hakika kama Chris alifanya “bad joke”
Lakini nina uhakika kwamba Willy Smith kakosea sana kwa jinsi alivyo handle issue

Kwa namna yoyote ile sioni sababu za msingi za mtu kaliba ya Willy Smith ku react kwa violence ya kiwango kile huku akijua fika dunia nzima inaangalia tukio lile

Chris ni mchekeahaji na alichofanya ndivyo wachekeshaji hufanya na kwa bahati mbaya kikikugusa usipopenda huwa inauma
Inawezekana kabisa Chris hakuwa anajua tatizo la Jada, na hata kama anajua bado haihalalishi kabisa Smith kufanaya utoto ule kwa level ya maturity aliokuanayo
Mkuu Inaonekana hata mkeo akishikwa tako hadharani utaapply level of maturity sio?
 
Ila Will ame catch kirahisi sana,itakuwa yule mwanamke amemwambia "Yaani mimi nataniwa we unachekelea tu hapa" jamaa ikabidi akatae unyonge.

Jada amemshika jamaa pabaya sana,anapenda kupitiliza aisee,

Hadi namuonea huruma mshkaji amekuwa kana bwege flani hivi
Nadhani hata angekuwa kimya ungesema bwege acha kuwa bingwa wa reverse mzee.Kamwambia saa ngapi wakati alikaa na Lupitha Nyong'o?
 
Mkuu Inaonekana hata mkeo akishikwa tako hadharani utaapply level of maturity sio?
Mwenye kufanya kosa ameomba msamaha baada ya kubaini amefanya kosa kubwa sana ambalo halina namna yoyote unaweza kulihalalisha........... case closed

BTW jamaa ana mind kiasi kile kwa Chris kufanya joke na kaugonjwa ka mkewe wakati kuna viserengeti boy vinachezea kabisa kitumbua cha mkewe😂😂😂😂
 
Ila Will ame catch kirahisi sana,itakuwa yule mwanamke amemwambia "Yaani mimi nataniwa we unachekelea tu hapa" jamaa ikabidi akatae unyonge.

Jada amemshika jamaa pabaya sana,anapenda kupitiliza aisee,

Hadi namuonea huruma mshkaji amekuwa kana bwege flani hivi

Na si niliwahi sikia kama walikua wanamchapia?
 
Will Smith kuonyesha ushamba wake hadharani, Hovyo kabisa. Bahati nzuri Criss Rock ni mtu mstaarabu sana, bila ya hivyo Mahakama ingelifanya kazi yake na mamilioni yangelimtoka.
 
Back
Top Bottom