Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,153
Hakuna habari zozote katika vyombo vya UHAKIKA... Nadhani ni HOAX!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa nimepata relief ya hatari, yaani huo uzushi mie hata sikuwahi kuusikia nimetumiwa tu email nikapewa link ya global news, cheki hii.....................naona kama uzushi mbona nimecheki hakuna latest news kwenye GAN na CCN hakuna issue kama hiyo naomba unipe link ya hiyo habari tafadhari
oooooooooooooooh gosh mtu asinifanye nizimie !
mbona kimya? umeshazimia nini? post something na sisi tusije tukazimia kwa kuzimia kwako.oooooooooooooooh gosh mtu asinifanye nizimie !
oooooooooooooooh gosh mtu asinifanye nizimie !
Hajafa yaani kumbe ni uzushi mtupurest in piece brother:::A S-confused1:
I really like your new avatarTry this link...
http://aonlinebreakingnews.blogspot....-not-dead.html
mbona kimya? umeshazimia nini? post something na sisi tusije tukazimia kwa kuzimia kwako.