Yellow bone
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 256
- 329
Mkuu...hatuwezi kuwa na magomvi na misifa ya ajabu..kila siku natembea nchi tofauto za africa...lakin waafrica tumekuwa kama nguruwe...waafrica tunachukiana sisi kwa sisi...uonevu sisi kwa sis lakin ukiangalia mantik ya kwanini tunakuwa hivi unaona hakuna..wote wapuuzi tu...povu la omo![]()
![]()
Juzi nikiwa natoka south africa...nilipita zambia.eti wazambia nao wanawanyanyasa watz wakat wao wenyewe wanategemea kila kitu toka kwetu...hii ni aibu..ifike mahali tipendane na upendo unaanza mimi na wewe..tuache chuki za kijinga...