Will there be a winner in Kenya's economic war with Tanzania?

povu la omo
Mkuu...hatuwezi kuwa na magomvi na misifa ya ajabu..kila siku natembea nchi tofauto za africa...lakin waafrica tumekuwa kama nguruwe...waafrica tunachukiana sisi kwa sisi...uonevu sisi kwa sis lakin ukiangalia mantik ya kwanini tunakuwa hivi unaona hakuna..wote wapuuzi tu...
Juzi nikiwa natoka south africa...nilipita zambia.eti wazambia nao wanawanyanyasa watz wakat wao wenyewe wanategemea kila kitu toka kwetu...hii ni aibu..ifike mahali tipendane na upendo unaanza mimi na wewe..tuache chuki za kijinga...
 
Acha ujinga, hizi nchi watu hawana mahindi wengine wanatembea matako wazi afu unaita giants,East Africa haina giants, ni maskini wanaotofautiana viwango
Kweli kabisa
...hakuna giant..wote maskin wakutupwa..tunadanganyana na vigorofa vya ajabu mtu akiona ghrofa ndefu basi anasema nchi yangu tajir..kwanini usijenge la kwako?sis waafrica watu wa ajabu sana
 
kasema ukweli kabisa...
 
Kweli kabisa
...hakuna giant..wote maskin wakutupwa..tunadanganyana na vigorofa vya ajabu mtu akiona ghrofa ndefu basi anasema nchi yangu tajir..kwanini usijenge la kwako?sis waafrica watu wa ajabu sana
nchi inalinganishwa utajiri kwa per capita income pamoja na GDP ila ile ya GDP sio reliable sana...kwa hiyo unaposema mijengo sijui wamaanisha nini...sasa uchumi za Kenya na Ethiopia zote zipo juu ukanda huu..the two true giants in EA
 
Unajua hii economic war iko mainly on the Tanzanian side. I am sure many Kenyans dont care or compare themselves to tanzania, however you tanzanians seem obsessed na Kenya. We see your as our fatter(bigger population) smaller sis.
The best way to look at it is through the media.
Angalia media za Tanzania, huwa hazina habari na mambo ya Kenya. Ila media za Kenya, kila siku Tanzania this ... Kenya that... Giants ... logistics this, infrastructure that ..
Huwezi kusikia Ethiopia wakipiga domo, au Mozambique. Ni wakenya tu, kelele every day. Plus they are not as smart, they will soon give up this trade war, it's not the first time. They lost on tourism, now they struggling on the other front.
Tachapwa tu! Subirini muone!
 
kwa hili la trade war nadhani ni upuuzi toka nchi zote mbili...ila ukija kwa hii ya media sidhani kama unasema ukweli mkuu...
 
kwa hili la trade war nadhani ni upuuzi toka nchi zote mbili...ila ukija kwa hii ya media sidhani kama unasema ukweli mkuu...
Wewe pull articles za newspapers, Tv programs with discussions, Trade sectretaries talking s#it, utaona wengi ni wakenya. Halafu ni either waongo au misinformed/educated individuals. Mnakuza sana mambo.

Hizo LPG huwa zinakuwa packaged in Tanzania na kufungwa Tanzania. That is value addition kama ambavyo ngano nayo inavyokuwa added value na Azam. It provides employment.

Badala ya kukuza value addition by facilitating trade of Eastern Africa's value adde products, nyie mnaleta ujuha kalulu.

So what if we order raw materials from Asia and Middle East and add value to them? Aint that better than getting finished products from EU?
 
nakubaliana na hilo la kuongeza value kwa bidhaa...yaani tunafaa tuwache kugiza bidhaa toka EU...tunaumia sana wakati wananufaika...
 
Ofcos the lpgs have to packaged in cylinders, not by any other means, that is not the issue. But the quality of every good coming to Kenya has to be assessed for quality and genuinness.

Every consumer commoditiies, regardless of their origin must be inspected, in accordance with the Kenyan regulatory standards

This move by Kenya is not intended to undermine the Tanzanian gas merchants exporting to Kenya. Try to understand.
 
Mkuu umeongea point kubwa sana. Wakenya ndouandika Tanzania lakini sisi media zetu hazina upuuzi huo. Kuna blog moja ya Kenya niliingia ilikuwa imejaa wakikuyu wanaongelea Tanzania. Nilianza na mmoja baada yamwingine wakakimbia walipojua ni TZ. Blog zao wanatuongelea sana vibaya hawa watu. Namwisho wao utakuwa mbaya trust me. Let us be yourself,tutafika.
 
Ati media za Kenya..hehee.hakuna news zozote kuhusu tz huku.infact mambo mengi tunayatolea uku jf naeza kuhakikishia most Kenyans don't even know your opposition leader.muache kujidanganya
 
eti 'the two East African giants?"......the only east African giants are Ethiopia and Kenya...

Ajabu kwenye forum za Wanaijeria na South Afrika wanawadharau Kenya kwa kupenda kwao kujilinganisha na kila taifa au mji wa Afrika.Na Wakenya tu ndio wanaopenda kujipendekeza Forum za wenzao.

Na zaidi SA na Naija wanajua kwamba Mkubwa wa E.Africa ni TZ
 
Mkuu kila forum za nchi nyingine na kihere here cha kujiona bab kubwa!jamaa wa ajabu sana hawa!
 
A lot! More people in Kenya heard of Diamond Platinumz than Uhuruto. I bet More Kenyans heard of Maghufuli than Uhuruto.
Ati media za Kenya..hehee.hakuna news zozote kuhusu tz huku.infact mambo mengi tunayatolea uku jf naeza kuhakikishia most Kenyans don't even know your opposition leader.muache kujidanganya
 



Ebu tupe link ya hiyo blogu na utuonyeshe vile uliwabururuza hao Wakikuyu. Msiwe mnasema tu mambo kuleta ubishi.
 
Of course Tanzania will win.i'm kenyan but i say my country stinks.we corrupt tribalists who think we great but the truth is kenya is a horrible place.the images look great but behind those nice buildings is filth.kenya is very likely to break up into tribal sovereign states.so be it.Tanzania,you seem to be doing everything right with JPM.Don't let these kenyans here give u shyt.
 
What powerhouse.just a bunch of pr written by paid operatives.it's very hard to reconcile the kenya they write about an the real kenya where 80% of it's poeple live.kibera,mathare etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…