Will there be a winner in Kenya's economic war with Tanzania?

Wewe huna Akili yakuchambua vitu
wenye akili zao wameeleza hapo
wewe nikibendera tu.
Mna jeshi gani !
kwa taarifa yako Kenya mnajeshi la hovyo Bora ya Burundi
Nyie mmejaa misifa tu.
Wenye Akili wamesha ona Mziki wa Tanzania kwa Kenya
wewe Kapuku hilo hutaweza kulijua
 

Umeweka Pembeni Misifa yakijinga ya mkenya
na kuongea ukweli.
Ukabila nitatizo
leo mnakumbuka Miaka 46 yakifo cha Mjaluo makini,Aliye uawa na Serikali ya Kikuyu kwa Hila,Ukabila,Roho mbaya!!
Poleni sana Wakenya
Ukabila ni janga kwenu
 
nakubaliana na hilo la kuongeza value kwa bidhaa...yaani tunafaa tuwache kugiza bidhaa toka EU...tunaumia sana wakati wananufaika...
Ukikataa EPA wazungu walionunua KENYA ( Kupewa ardhi ya kulima MAUA na MBOGAMBOGA ) itawabidi waanze kulipia ushuru kupeleka kwenye soko la ULAYA kitu ambacho hawakitaki. Uchumi wa Kenya umejaa kwa WAZUNGU, WAHINDI na WANASIASA. Most kenyans are very poor wamebakiza sifa nyiiingi kama watu wa ARUSHA

- Eti na Ethiopi ni GIANTS wakati kila siku tunawakamata raia wao wamejazwa kwenye maroli ya kufa wakizamia AFRIKA KUSINI, Pesa zote nchi inawekeza kwenye NDEGE, RELI, RUSHWA ( Most Ethiopian billionnaires are politicians ) na UMEME. Ethiopians are very very poor na UKAME WA KUTISHA
 

Umeweka Pembeni Misifa yakijinga ya mkenya
na kuongea ukweli.
Ukabila nitatizo
leo mnakumbuka Miaka 46 yakifo cha Mjaluo makini,Aliye uawa na Serikali ya Kikuyu kwa Hila,Ukabila,Roho mbaya!!
Poleni sana Wakenya
Ukabila ni janga kwenu
 
What powerhouse.just a bunch of pr written by paid operatives.it's very hard to reconcile the kenya they write about an the real kenya where 80% of it's poeple live.kibera,mathare etc
jamaa mtz kajifanya mkenya ili kuja kupost uppuzi hapa akijiita mkenya..
 
Kumbuka kuna expansion of Tanga port, Mtwara port, DAR PORT and construction of a new port at BAGAMOYO. You Kenyans will soon cry over economic shrink if you will not keep a bay of economic war with Tz
 
Huyu writer ni mzembe sana kufanya research. The Bagamoyo port project was dropped eons ago and Tanzania recently signed a port upgrade deal with the World Bank that will see the Dar port rival if not surpass Mombasa.
Fala sana huyo!
 
Dwarfs comparing who is taller than the other... At the end u r all dwarfs
 
Dwarfs comparing who is taller than the other... At the end u r all dwarfs
This "dwarf" metaphor in reference to our developing countries is rather hackneyed and wrong.

Yes, they are dwarfs in terms of development in comparison to the other countries in the world, but the fact is that these developing countries' vary in terms of the levels of development and affluence, any more than the developed countries are not at par in terms of wealth and development.

Surely, even among the human dwarfs, they do not have equal levels of height, talents, strength, beauty, success etc.
 
mkubali,mkatae tumo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…