Lakini kipi ni kipya? Sijaona.
Maelezo uliotoa ni mazuri lakini nna mashaka bado hujaelewa ninachokiongelea na kukikusudia kwa undani kidogo. Ninaongelea kuhusu globalisation ktk market. Sio hiyo small scale ya mtu kuuza maziwa kwa jirani ake and the like.
Mie si mchumi lakini I understand kuna models nyingi za kiuchumi zinazoeza kumsaidia mwanadamu, ambazo zinaeza kuwa adopted successful into practice. I just happen to understand effects of globalisation kwa uchumi wa nchi uchumi mdogo kaa Tz na uongozi legelege wa kifisadi kaa Tz.
Nitaongelea scenario ya Tz, kwa sababu ya kuishi sana huku na kuelewa uzito wa tatizo lenyewe.
Kwa sasa bado rasilimali zinaonekana bado zipo(kama ardhi, madini na pia kuna prospect ya kuwa na mafuta etc) na watu kwa sababu hawajui magnitude ya mazingaombwe wanayoingia wanadhani wawekezaji wanakuja kuendeleza nchi, kumbe to the contrary, wawekezaji na kaa bwana anayelala na malaya, ikifika usubuhi anaendelea na maisha yake. Hizi rasilimali tunazogawa burebure in next 30, 50-100 years zitakuwa zimepungua kwa kiasi kikubwa au kuisha kabisa. Ktk hali hiyo tutakuwa hatuna kitu cha ku-exchange na hao wawekezaji tulodhani ndio masiha, na kwa hakika hali itakuwa mbaya na kutisha na tutawaachia wajukuu wetu a MEGA problem ambayo hawatakuwa na majibu.
Nyerere had a right concept, he understood the magnitude za kutupa rasilimali kwa sababu alitambua rasilimali za taifa ni kitu muhimu sana kwa maendeleo ya taifa. Alielewa kuwa mali hii ya taifa inapaswa kutumika kuwaendeleza waTz wote na sio mawakala wa mabeberu. Hiki ndio chanzo cha siasa za ujamaa na kujitegemea, kwamba njia kuu za uchumi(major means of production) zimilikiwe na umma, na nguvu ya umma itawale jinsi gani keki hii ya taifa igawanywe kuwafaidia waTz wote. Unfortunately mabeberu hawakufurahia hili maana liliwakosesha control ya uchumi wetu, nways siezi kuongelea kuhusu utekelezaji ujamaa na kujitegemea (currently siasa ya 'jamaa na kujimegea') lakini I will die the witness of this good brain JK Nyerere ujamaa na kujitegemea ideology.
Kwa upande wa Kenya nadhani mlisha-succumb kwenye hizi policy za kuruhusu mabeberu wachache wamiliki uchumi wenu tangia zamani, na kama nilivosema kuwa hii policy inacentralize uchumi na resources kwa kikundi fulani tu cha watu, say 5% na kuwaacha a chunk of people with virtually nothing. Nadhani wewe mwenyewe umesema hili kuwa Kenya resources ni kidogo, I bet hukusema vyema resources ni kidogo kwa tabaka la hao 95%. Sasa ni ajabu mnataka kuleta hayo masumbufu mnayokumbana nayo huko kwenu kwa Tz, UG , Rw na Bur.
Nakukaribisha kama unalo la kuongelea.
Abdulhalim, pole sikua nimeona huu ukurasa na nina kujibu.
The best resource is the human one. You can have all the resorces like DRC or Angola
and remain just as poor as those without.
"Sasa ni ajabu mnataka kuleta hayo masumbufu mnayokumbana nayo huko kwenu kwa"
This is completely misleading. Sisi tu na raha mstarehe na sijui unalo liongelea.
What East african countries are trying to do is to create a big market for all the people of E Africa, not for Kenyans only and we are not forcing anyone for we are still doing fine.
There are many fears that we might dominate all the markets. This fear is being spread by
some selfish politicians and people who do not know what is the meaning of a ' market'
You have your own style which suits you and we have our own and is okay for us and we never
complain..
Yes we have been parsuing the concept of private ownership.
This has allowed competitons among us and we love it that way.
If i own a company, i think about it all the time, wake up very early in the morning, draw
new plans, invent new ways of doing things easier and cheaply.
If it is ours, why care wake up very early in the morning when there are other people who
can do that?
This private companies employ many people who are well paid and also generate most of all taxes which the government needs.
Most of the corruption cases are found in the government quarters and in those poor performin government parastatals.
Workers in those parastatals '
mali ya umma' are poorly paid. Mismanangement, corruption and laziness is the order of the day.
You will never find mismanangement and corruptions in private entarprises kwani hauwezi kuiba kutoka kwa kampuni yako, lakini kama ni ya umma utachota kitu kidogo as we say here.
Since the privatation of the Kenya Telecom, now the phones are working and its workers are well paid than before.
If you need help from them, you get it promptly than before when you had to wait for those abusive and lazy workers to have their tea.
The company is partly owned by the french and partly by government.
I'm writting this through their Orange broadband service.
Before this, it was a miracle if your call went through.
Here in Kenya, you get better treatment and service in private hospitals.
You have a choice to go to governments ones where you have to wait for longer for doctors
to finish talking on their phones.
You also have a choice to take your children to government schools or private ones.
We had those nyayo busses
'mali ya Umma' which went down very fast because of
mismanangement and corrupton.
So anything '
Umma' here seems to be doing very badly and that is why most of people
are supporting that it is time that we go 90% privatization in all quarter and just leave things
like some roads,some hospitals as as 'ya Umma'.
I would even advocate that there should be no free things like free education for it is bringing
down the quality of education.
For the past few years, in the primary education, the privately owned schools have been performing better than those government owned schools where you find teachers reading newspapers all the time.
A teacher has to perform in private schools and you will never see a teacher carrying a newspaper.
Atapoteza kazi mara moja.
Most of the teachers in the government schools are running away to look for jobs in those privately owned ones for they earn salaries which is almost twice as the one paid by the government.
Kwa hivyo kwetu " mali ya Umma" ni yakuibiwa tuu na kama unafanya kazi katika
serikali na wew si corrupt you are told
'kwanini usiibe na mali si yako ni ya umma?'
huwa tuna msemo hapa Kenya kama mtu hataki kufanya kazi ' hakuna chabure na ukitaka cha bure basi enda Tanzania'.
Ni na mengi kuhusu haya mambo lakini ni usiku sana kwaheri.