Will Uganda and Tanzania’s rebounding economies soon overtake Kenya’s?


you have put this very well. people always say that kenyans dont own anything in their country. well i would prefer if orange owns telecom kenya because that will translate to better communicationg services for me. this is what people do not understand, we kenyans really dont care who owns what as long as the job is getting done. i rather have vodafone own majority of safaricom becasue that will translate to kenyans enjoying things like M-PESA before anyone else in the planet does. this is how kenyans think
 

they wont understand, blame it on Ujamaa, unless you are ready to explain it to them like you explaining to six year old, using stick drawings and stuff. Utaanza kuulizwa who owns nakumat, Safaricom as if the people employed there and the taxes they pay amounting to millions of dollars doesn't go to our coffers, achana na hawa watu mtu wangu.
 
!?

Nimeanza kuchangia thread hii kwenye post #9. Na wewe ukajaribu ku-respnd , bila hata kuelewa unacho-respond kwenye post # 19. Very unfounded and uncorrelaretd response to say the truth.

Baada ya kuona hukunielewa nikakujibu kwenye post # 26. Na haya ndio maneno niliyoanza nayo..

Maelezo uliotoa ni mazuri lakini nna mashaka bado hujaelewa ninachokiongelea na kukikusudia kwa undani kidogo. Ninaongelea kuhusu globalisation ktk market. Sio hiyo small scale ya mtu kuuza maziwa kwa jirani ake and the like.
Lakini haikusaidia.

Then out of nowhere uka-respond post yangu ileile #9 with this incoherent response..kuonesha ulivo na kichwa kigumu.

Uchumi na masoko ni kitu kimoja.
??

Nami nikakujibu..

U still don't get it ..do u?
and then there was your loooong useless post #38.

Ndipo nilipokukumbusha kuwa huelewi ninachosimamia na unajibu kitu usichokielewa. Haya ndiyo nilioyasema..

..Ukisoma post yangu #9, ndio utajaona kwamba nipo nje ya box lako la fikra. Kaa ungekua umeelewa ile post unge-save muda sana buddy.
Nime-take trouble kuanza kuelezea mchango wa mawazo yangu ktk hii thread na jinsi ulivokurupuka kurespond kwenye postz usizozielewa.

Nadhani nia ya mjadala ni kueka mawazo hapa na kuyachambua ktk kujadili mada husika. Still I believe hatuezi kulazimisha kupatana hata kama mtu anajibu post asiyoielewa repeatedly over and over ..Huu ni uzuzu na kupotezeana muda.
 
Kuna malimbukeni humu wanakimbilia ku-respond posts bila kuelewa kinachozungumzwa. Inashangaza. Watu tunajadili idealized concepts, wao wanajadili matukio.

Samadi tupu.
 

Nomasana acha uongo and if your fellow kenyans wakisikia that you dont mind who own what, they will stone you mpaka ufe.

Through out your country people are screaming about the unjust distribution of the national wealth. Few people are enjoying on the large tract of land while the mass are squatting and tenting along the roads, halafu wewe nomasana unasema you dont care, nani kawaloga?!!!

I always say you guyz be wise in understandaing things. So for you nomasana employment is enough to feel that you are incorporated in the economy. Don't you know that most of the employees in those establishments are cheep labourers.

Much has been said in this jukwaa on how the westeners have been exploiting Kenya and the entire continent. Now what to discuss is how to get rid of that unyonyaji, incorporate our people in the economy.

nomasama, smata na wengine, remember ''CAPITALISM TRIUMPHED IN WEST BUT FAILED EVERY WHERE''. Hernando de Soto.

So we need to find out our own way as AFRICANS to distribute our wealth in good manner so as to elliminate the CLASS STRUGGLE which is latently boiling in our societies.

I remain.
Eliakeem.
 

Umeelezea vizuri Br. Eli

This is exactly what I have been trying to say. Kwamba capitalism does not favor the majority of our people in Africa. Nimeeleza kwamba ni vigumu hali za common mwananchi ku-improve ktk mfumo huu kwa sababu systematically huu mfumo una-centralize utajiri kwa kikundi fulani tu cha watu na kuwaacha wengi wetu nje tukiwa hatuna kitu. Ktk mfumo huu ili kila mtu ashibe inabidi kuwe na infinite resources, which is not the case. Kwa hiyo kuna umuhimu wa kuwa na system inayoangalia kugawanya hizi resources, hapo ndipo nikagusia fikra za Nyerere, lakini pathetically kuna watu wakajaribu ku-refute bila kuelewa wanacho-refute.

I'm still convinced kuwa Nyerere overall speaking alikuwa right kwa kuona break-point ya huu mfumo tangu zamani. Sasa ni miongo kama 2-3 hivi na tunaona social na economic structures are destroyed na with time hali inazidi kuwa mbaya.
 


For those who worship Washington Consensus (of course and also British) can't understand Nyerere school of thought. Because they cultivating the selfishness and arrogance ideas.
The continental Europe seem to apply Nyerere ideas in modern way. Countries like as Germany, The Netherlands, and Scandinavia are making sure that every citizen is not left out of the berry jar. Every one should get involved in economy.

But my concern is how we Africans can implement a sociolistic market economy (china (SINO) technoque), a high measure of freedom to involve in economic activities with a graduated government internvesion.
I remain.
Eliakeem.
 
From my point of view, there is a very big possibility that Uganda and Tanzania can overtake Kenya economically.
This will depend on the seriousness in allocating well their resources towards the expansion of their economy.
For instance, Tanzania should
improve its services at her Dar es Salaam Port so that More landlocked countries like Malawi, Zambia etc can proceed using it in passing their imports and exports as well.
Railway from Dar es Salaam to Nairobi should be relaunched especially at this time when EAC is at it peak, this will assist exploiting well the opportunity.
Construction of roads to a tarmac level from production areas to the marketing one-i.e Southern regions like Ruvuma, Mbeya, Iringa and Rukwa should be taken care of to increase food and cash crops.

Missed time to finish up my contribution.......................
 
Jamani tushirikiane na kupendana tu kwa ajili yetu, watoto wetu na wajukuu!

German wana GDP kubwa kuliko France, UK n.k mbona wanashirikiana tu! Hata hivyo tofauti hizi za GDP kwa Tz, Ug na Kenya sii kubwa sana!

Tuangalie mbele..tuwe na One country EA..yenye amani na maendeleo..sarafu moja kama EURO na uchumi imara!
 

Cha mno ni mfumo wa kisiasa katika nchi husika na utetezi wa haki za wanyonge.
Otherwise huu muungano hauna tofauti na ule wa kina Kenyatta, Amin na Mwalimu.
Hizo nchi za bara Uropa zina a well oiled democratic machinery in place and this
has allowed for a stronger economic union.Naswi Je?...Waliombele wote ni wezi!!!
Kwa namna hii sidhani kama tutafika tuendako.
 

Whose coffers? wewe na nani?....Unless familia yako ni ya Kenyatta, Moi or Kibaki...watu
wengine wote wanakula vumbi na jasho tu. Hebu acheni longolongo yenu hapa.
 


Forgive me for pointing out that if the "Nyerere school of thought" actually worked Tanzania should have been way ahead by now. The good that came out of african socialism is unity and the bad is lack of basic education leading to a lack of skilled labour. It is only recently that the country was pulled out of an economic slump noting that the ideologies have not been re-applied. Additionally countries in continental Europe would not take away from people who they thought had too much. On a final note presently due to corruption and widespread greed the very poor dont even know when aid is supposed to come their way since it is gobbled up before it reaches them. So what needs to be eradicated is the widespread corruption and greed.
 
Whose coffers? wewe na nani?....Unless familia yako ni ya Kenyatta, Moi or Kibaki...watu
wengine wote wanakula vumbi na jasho tu. Hebu acheni longolongo yenu hapa.


How can socialist ideas bring thoughts of good business and the common knowledge that your customer is king. Work is good for you, dont wait to be fed, feed yourself.
 
Will Uganda and Tanzania's rebounding economies soon overtake Kenya's?

It is an interesting article which is well written and balanced in its views. I think the minerals in Tanzania are strengthening the economy. On the other hand the growing resentment to foreigners and foreign investment is growing. If it continues in this way it would have adverse effects on the economy.
 
Whose coffers? wewe na nani?....Unless familia yako ni ya Kenyatta, Moi or Kibaki...watu
wengine wote wanakula vumbi na jasho tu. Hebu acheni longolongo yenu hapa.

At least am seeing intersections being built, the roads being refurbished, new airports being built, better services in gvt. institution,new industries and stuff, despite all the corruption. I know I sound blunt as f.uck, but truth be told, at least for the first time we are seeing where our tax money is spent, s.hit is being done. Imagine 24 years under Moi, no roads or anything but we still managed to survive it, so Kibaki's leadership is a walk over, we will always stay winning, and you will always say that you will catch up after seven years or something, that's loosing, the faster you accept it the better. You have minerals for crying out loud, your land is fertile, your goverment is still not corrupt (compared to our standards), you have a population of over 40 milli, now whats holding you back? Kenya has nothing except for ITS HIGHLY SKILLED LABOR FORCE and its infamous politicians, we good bro hate us or love us, we good in this paper chasing stuff. Air it out
 

Ahsante Mzalendohalisi and i support you. Hakuna siku ile chuki ilisaidia. Mimi naishi
town ijulikanae kama Ngong Hills, 23 km from Nairobi.

Tunamiliki manyumba zakukondisha. Baba yetu alituacha na hii plot and we were
very very poor. We are seven Boys and one girl.

Tulienda na kutafuta namna na mwenyezi mungu akatubaririk kwamba kila mtu
ana nyumba zake za biashara na kukaa hata huyo msichana ambaye aliuza ma T-shirts
na kuvunja record kwa vile hiyo biashara alivyo kua akiifanya.

Kila siku ya soko aliuza zaidi kshs 10,000 na akaweza kujenga nyumba 15 .

kila nyumba ilikua 2000 ikikondeshwa kila mwez (per month) lakini sasa ni 2500.

Kwa ujumla twapata zaidi ya kshs 300,000.

Kwa hivi sasa huyu dada yangu huishi marekani na amefungua mabiashara zingine
huko na kumwachia mama yetu zile nyumba zake ijapokua mama hata yeye alikua
ana zake.

Tuna wa Tanzania watano katika plot yetu na wawili ni wana biashara, Tarimo mwenye
Butchary, na baba brian mwenye duka.

Tarimo alikua ana fanya kazi katika hoteli na baada wakati mrefu akaanza tu biashara biashara
na sasa ndie mwenye Butchary ile kubwa na bado ana supply
nyama (na siya punda ama twiga) hata jijini Nairobi.

Nimetoa huu mfano wajamii yetu hapa kwetu. Maana siku jisifu, ila mfano kwamba

the greatest resorce of all, is human resorce, sharpen your brain and whatever
you touch will be gold.

Tupende ama tusipende, wa Tanzania, wa Kenya, wa ganda na wengine ambao wako karibu
nasi ni mandugu.

Kushikamana haitakua ni choice, itakua ni jambo la lazima.

Kushikamana kwa European community haikua just for luxury, it was for their
own survival.

Ili waweze mbio za marekani ambayo ilikua na soko lake la ndani kwa dani kubwa
iliwalazimu watengeneze soko kubwa lao, yaani EC.

Wenzetu hapa wanaongozwa ni chuki tuu na chuki hutokana na kutojua.

Mtu hataki kusikiliza ati sababu waongea 'outer box na yeye yu inner box'

Msikubali kupotoshwa na watu wachache ambao hata ukiwasikiliza hawajui kile
ambacho wanaongea kuhusu.

Wasome historia ya mwanadamu ili wajijue.

Sisi kama familia tunge ngojea mtu atusaidie tungekua masikini mpaka sasa.

Ubepari na ujamaa una uzuri wake na ubaya wake. Lakini ujamaa ukawa na
madhara zaidi, mtanisamehe wale wanaamamini.

Sikua nimeongelea chochote kuhusu ujamaa wa Tz kwani singelitaka kuudhi yeyote.

Mwafrika shida yake ni kwamba akisha amini kitu fulani, basi huo huwa mwisho
na hakuna majadiliano.

Sasa hawa wajaa hawataki chochote kuhusu ujamaa kiongelewe.

Watu hubishana kuhusu dini ambayo iko juu zaidi ya ujamaa.

Why is Tanzania opening up to capitalism? Because too much ujamaa is dangerous.
It does not encourage people to be creative. Huo ni ukweli mchungu.

Tanzania has more land acreage, more minerals and more people than Kenya.

Vietu si viangu. Changu ni takilinda hata kuwe na mvua ya masika.

Lakini vyetu, ahh sijali, wengine wako wakuangalia.

Kwanini tulete siasa badala ya mjadala. Nchi ile kubwa ki uchumi, Marekani, ya
endesha mtindo wa kibepari.

Kwanini USSR ikapororoka?

Enyi mnaotetea ujamaa, na hapa siongei kuhusu Tanzania, na maanisha SOCIALISM,
tajeni inchi ambayo ni pure socialist na Tanjiri .

Mtu asifanye makosa kuitaja Uchina kwani ubepari ushapiga hodi na unasukuma ujamma
kando.

Chuki humfanya mwanadamu afunge macho yake na anakua mjinga na kwahivyo
mbishani.

(Nimeongea ukweli mtupu kuhusu familia yetu na mungu ni shaidi yangu)
 

Kama ulikua unaelewa na vile ulikua ukieleza katika post yako yakwanza na mimi
nikajibu bila kuelewa ambacho ulikua umeanndika, kama mwana elimu ungenifafanulia.

Wewe ndie haukufahamu vile nilivyo kua nikisema na kudai sijui, inner box, outer
box, jameni, iko nini?

Lakini inaonekana kama ulikua ume kram somewhere. Sababu? Hauwezi kufafanulia mtu mjinga kama mimi, eee?

Chuki yako haitatatua shida za mwafrika. Unachuki kwa watu hauwajui ama kua elewa hata hawana ubaya wowote nawe.

Sasa watafuta msaada ati wengine wakusaidie, ungekabiliana na mimi, ki fikra na kielimu na kuacha wengine waamue.

Sikua nime elewa ku navigate katika hii site mara ya kwanza na sikujua kile nilikua nikiandika kilikua chaenda wapi na ndivyo nikarudia hayo umenakili hapo juu na sikua niki kukwepa.

Katika post yako yapili, uliwatusi wakenya sana lakini sikuona chochote kikubwa
kwani kama nilivyo sema hapa ni mjadala.

Mpaka sasa si jasema chochote kibaya kuhusu watanzania na nina jua watanzania sana tangu utotoni mwangu kwamba ni watu wazuri na wanishangaza sana.

Unafaa utembelee Kenya ili ujue kile unaongelea.

Sina ubaya nawe. Ama ni outer box na wewe inner boksi, he he he.
 
Whose coffers? wewe na nani?....Unless familia yako ni ya Kenyatta, Moi or Kibaki...watu
wengine wote wanakula vumbi na jasho tu. Hebu acheni longolongo yenu hapa.

Misleading, misleading,misleading.

Can any peson back up what you say with facts.

Kenya had a budget of kshs 800 billions last year.

95% of this money was achieved locally.

We do not have any usefull minerals and all that is
taxation from Kenya people and
companies.

Do you know what was the budget of Tanzania last year?

Do you want me to tell you?

So you want to mean that the 800b came from Kenyatta, Moi and Kibaki family.

Aiiii, wacha maurongo zako, hata kama.

I wish it was that way but unluckily, it is Kenyans who raised
all that money though overtaxed but we alwys managed.

It is good that we do not have any those kind of minerals you
have in Tanzania.

We would be either very rich or poorer than we are.
 

Tafaadhali tell us about mafanikio ya ujamaa kiuchumi Tanzania
ama duniani kwani it is as if you are a specialist in

ubaya wa capitalism na si mafanikio ya ujamaa.

Ningelitaka uje na facts kwani ziko katika internet.

Ama tena sija kuelewa?
 

Buda achana na Abdulhalim, atakuchanganya tu na hiyo kiswahili yake na kukuuliza ni kipi kipya? hana lolote huyo, mkulie vako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…