Will you accept me?

Hebu uni pm bac na mimi i'm serious but i wanna c if you are real serious too as me.
 
isije ikawa romania au sebia bila kusahau poland,ulaya ipi?
 

nimeckia uliyo yaandika na nimekuelewa lakini swali m1 je,akija huko sindiyo ule utegemezi uliyo ukataa utaanzia hapo! Vipi heshima yake, itakuwaje?!nimeuliza hayo ili nijue huwenda nikawa mimi mhusika wako,jaribu kuniridhisha tafadhali good day.
 
Nimesoma nakuelewa nimefurahishwa hishwa kwa kwakuwa hakuna vigezo wala masharti hapo utachagua mwenyewe.
 
Asanteni sana kwa kuchasngia huu uzi. binafsi i am so excited and humbled kwa pm nyingi sana zilizonifikia hadi dakika hii, samahani nitachelewa kuwajibu kwani nina kazi nzito ya kupitia profile za wahusika na kujaribu kuwa analyse kwa kupitia maandishi yao na comments za JF kwani ni njia mojawapo ya kunifanya nijue angalau basics za mhusika japo naweza kuwa kwenye mtego wa kufanya adverse selection coz sio wote wanaokuwa real JF.

Kuhusu umario, kuna watu wameuliza ati wakija huku si watakuwa tegemezi....ni kweli kwa kurelocate lazima ishu zibadilike kiasi na hilo kwangu si tatizo. Lakini kwa Tanzania kwa umri wa miaka 30 to 40 nina imani angalau kama wewe ni mtanzania unayejibidisha utakuwa ushapata uelekeo na hutakuwa mario hapo bongo. angalau kula kwako na kodi ya nyumba utakuwa unavimudu. Kama kwa age ya 30 to 40 wewe ni marioo na hukupata tatizo la kukukwamisha mahali basi wewe una tatizo kubwa kwenye akili yako na hivyo hutanifaa.

Nasisitiza waombaji wajitahidi kueleza wasifu wao na nini hasa they are up to by now na expectation zao (like ni aina gani ya rafiki na tabia gani wanaona wanafit nazo kwa rafiki) ili iwe rahisi kkwa mimi kuchambua maombi yenu.

Wasalam

Kibebi
 
Baada ya kusoma hili nafikira x 2 kama nahitaji PhD
 
Baada ya kusoma hili nafikira x 2 kama nahitaji PhD

Ha ha ha ha ha ha haaaa, upweke haujali unadegree ngapi dadangu!! Katika kizaizai Diamond anaimba "Mungu aliumba dunia na maajabu yake, ya mwanzako sikia omba yasikupate".
 
point of correction ukizaa ulaya au sehemu ya nchi isiyo ya kwako hupati uraia wala nin kuna vitu watu tunachanganya kuna Residence(ukazi), Citizenship(uraia) na Domicile(design flani ya kulowea sehemu..watu wengi tunadanganyana vijiweni citizenship unafanya registration, by birth una attain citizenship at the age of 18 and above inategemea na nchi wanachukulia age of majority ni ipi..huwezi pata uraia kwa kuzaa tu mtoto..ughaibuni...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…