Home First
JF-Expert Member
- Feb 23, 2013
- 609
- 247
Hebu uni pm bac na mimi i'm serious but i wanna c if you are real serious too as me.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamjambo wa MMU,
Mimi ni kibebi, jinsia yangu ni mwanamke, nina umri wa miaka 29 ninaishi abroad (Ulaya). Rangi ya ngozi yangu ni maji ya kunde, mrefu wastani, sijawahi kuolewa kabla, na elimu yangu ni ya phd. Sipendi uongo na hila.
Ninatafuta kijana mwenye umri kuanzia miaka 30-40 atakae kuwa tayari kuwa rafiki, tukielewana tutaenda hatua ya wapenzi na hatimaye mume. Asiwe mario (anayependa kulelewa)Tutaanza na urafiki na ikionekana we can make it mambo mengine yatafuata. Pia awe tayari kuhamia ulaya ASAP tutakapofikia hatua za ndoa (kama tukijaliwa kufika huko). Napenda mtu mkweli na muwazi, kama utakuwa ni mtu wa hila ukweli sitakuvumilia na tutaachana tu kwenye hatua za awali.
Kuhusu maisha ya baadae (tukishafika kwenye level ya mke na mme) wakati akija ulaya asiwe na wasiwasi kwani nitasimamia kila kitu hadi mambo yake yanyoroke.
Naomba kama hauko serias usinitumie pm tafadhali.
Only shortlisted candidates will be contacted.
Ni mimi Kibebi.
Wewe uko nchi gani?me niko ulaya magharibiKwa sisi ambao tupo ulaya tayari? Nd hatufikiriwi?
Wewe uko nchi gani?me niko ulaya magharibi
Ok, thanx...Kama hutamind waweza niinbox jina la nchi plskaskazini Magharibi!
Baada ya kusoma hili nafikira x 2 kama nahitaji PhD
tehhhh huko hutaki??isije ikawa romania au sebia bila kusahau poland,ulaya ipi?
Weka picha basi,kama hivi
![]()
sitaki,nabaki Africa.tehhhh huko hutaki??
point of correction ukizaa ulaya au sehemu ya nchi isiyo ya kwako hupati uraia wala nin kuna vitu watu tunachanganya kuna Residence(ukazi), Citizenship(uraia) na Domicile(design flani ya kulowea sehemu..watu wengi tunadanganyana vijiweni citizenship unafanya registration, by birth una attain citizenship at the age of 18 and above inategemea na nchi wanachukulia age of majority ni ipi..huwezi pata uraia kwa kuzaa tu mtoto..ughaibuni...Hii post imenikumbusha mhaya mmoja alipoenda ulaya alikua anafanya kz ya tax driver malazi alikua analaa ndani ya tax maisha dhiki mtindo1,ck kama zali akakutana na mja maica alo kodi tax ktk story wakajuana na akawa mteja wake wa kila siku,mjamaika akakubali aolewe na mhaya ili kumsaidia apate uraia,wakajaribu kuzaa ili mhaya apate urai kwa wapec bahati mbaya mimba 6 zote zilitoka ya 4 akapata wtt mapacha wakiume wakapata uraia na baada ya mda akapata wakike1,na ndo hapo walipokuja bongo kumtambulisha kwa wakweze akamtelakeza na watoto na kukana cwake wakati ndo walompatia uraia na kujimwaga na binti wakitanga kwa mali za mjamaica,na vitisho vya kumtishia amani juu.
Source clouds fm!