Will you buy I phone 5 or I pad Apples

Will you buy I phone 5 or I pad Apples

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
4,324
Reaction score
1,892
Thanks .mimi nimenunua wholesale apple store .dollar 100 niuze how much shillings
 
Thanks .mimi nimenunua wholesale apple store .dollar 100 niuze how much shillings

Dollar 100 ???mbona ndogo sana kwa aina hiyo ya simu.. well inabidi ufanye mchanganuo wa gharama zote kama kodi mbali x2 ,usafiri,muda etc..then utaongeza percent fulani ya faida. inabid ujue wenzio wanauzaje pia
 
Imusitapeliwe ingia www.apples.com .zinaanza retail 150 dollar .whole sale kwa mimi mwenye kibali naanza na 100
 
Thanks .mimi nimenunua wholesale apple store .dollar 100 niuze how much shillings

Mkuu acha utani, kwa maana bei iliyopangwa na Apple wenyewe kwa iPhone 5 ni USD 646 na kwenye grey market sasa zinauzwa kwa zaidi ya USD 800.
 
Biashara ni ushindani na faida wewe angalia mzigo uliupataje, kwa kiasi gani, wenzako wanauzaje, na inawachukua muda kumaliza mzigo, alafu wewe unaangalia mimi niuzaje:
 
Kuna mkulu amesema hapo juu, dada labda ameuziwa iPRONE 5 akaaminishwa kuwa ni iPhone 5!!:eyebrows::eyebrows:
 
iphone 5 factory unlocked not below 800$

cheap one are those with two year contract ambazo haziwezi vileviel kuwa 100$
those goes with two year contract zinakwenda 199$

Thanks .mimi nimenunua wholesale apple store .dollar 100 niuze how much shillings

kawadanganye wa sitimbi !
 
Back
Top Bottom