William Lucian & Said Ndemla

William Lucian & Said Ndemla

madeinmusoma

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
324
Reaction score
387
YANGA 3 SIMBA 3

Daah hadi Half time nilijua zile 5 zinarudi,Kipindi cha pili walipoingia Vijana hao Walipoteza kabisa kiungo cha Yanga....Mara Mwombeki la kwanza dkka chache faulo akapiga Chollo ikatua kichwani mwa Captain Owino...Nikanywa maji Owino hakushangilia zaidi ya kuhamasisha wenzake...Yanga wakapagawa mara kona ikachongwa na Ramadhan Singano ikatua kichwani mwa Gilbert Kaze kitu Kambani Asee nilipiga kelele la Shangwe hadi Majirani kujiuliza kuna nini?? Daah Simba bhana naipenda sana nitabaki Shabiki mtiifu wa Simba hadi naingia kaburini..!!!
Asante Ndemla Kurefusha mkataba wako na Simba sc.
 
hivi asubuhi hakuna paper test yeyote kweli??
basi kamalizie hata course-work mpira jioni
 
Ndemla huyoo kipindi kile uwanja wa barafu paleee magomeni uwanja wa barafu ikitokea faulo huku nje tunaandika goli kipindi hiko mchezaji wa ngongo yeye mtoto wa kota

nb:ndemla umri amedanganya huyu jamaa umri wake ni zaidi ya miaka 25
 
Ha ha huyo ndie ndemla
 
Kwa maana hiyo Simba nap wamedanganya kudai kwamba ni wao ndiyo waliomlea tango akiwa kinda na kisha kumpandisha kikosi chat kwanza?
 
ndemla huyoo kipindi kile uwanja wa barafu paleee magomeni uwanja wa barafu ikitokea faulo huku nje tunaandika goli kipindi hiko mchezaji wa ngongo yeye mtoto wa kota

nb:ndemla umri amedanganya huyu jamaa umri wake ni zaidi ya miaka 25

wewe mwongo kajipange upya.huo tunauita uongo wa karibu na ukweli
 
Kwa maana hiyo Simba nap wamedanganya kudai kwamba ni wao ndiyo waliomlea tango akiwa kinda na kisha kumpandisha kikosi chat kwanza?

Anayesema kamlea ndemla muongo ndemla kocha wake alikua Mzee ngongo maarufu sana pale magomeni

wewe mwongo kajipange upya.huo tunauita uongo wa karibu na ukweli

uongo upo wapi ??
hajakaa magomeni kota ??
hatukua tunahesabu magoli ya faulo au
miaka imekuchanganya ??

nakupa homework nenda uwanja wa barafu kaulize habari za ndemla kama kuna kitu nimedanganya uje useme hapa
 
YANGA 3 SIMBA 3

Daah hadi Half time nilijua zile 5 zinarudi,Kipindi cha pili walipoingia Vijana hao Walipoteza kabisa kiungo cha Yanga....Mara Mwombeki la kwanza dkka chache faulo akapiga Chollo ikatua kichwani mwa Captain Owino...Nikanywa maji Owino hakushangilia zaidi ya kuhamasisha wenzake...Yanga wakapagawa mara kona ikachongwa na Ramadhan Singano ikatua kichwani mwa Gilbert Kaze kitu Kambani Asee nilipiga kelele la Shangwe hadi Majirani kujiuliza kuna nini?? Daah Simba bhana naipenda sana nitabaki Shabiki mtiifu wa Simba hadi naingia kaburini..!!!
Asante Ndemla Kurefusha mkataba wako na Simba sc.

Ha ha ha ha ha,HAMIS 31Umenirahisha sana we jamaa,hebu agiza mchemsho nakuja kulipa
 
Back
Top Bottom