madeinmusoma
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 324
- 387
YANGA 3 SIMBA 3
Daah hadi Half time nilijua zile 5 zinarudi,Kipindi cha pili walipoingia Vijana hao Walipoteza kabisa kiungo cha Yanga....Mara Mwombeki la kwanza dkka chache faulo akapiga Chollo ikatua kichwani mwa Captain Owino...Nikanywa maji Owino hakushangilia zaidi ya kuhamasisha wenzake...Yanga wakapagawa mara kona ikachongwa na Ramadhan Singano ikatua kichwani mwa Gilbert Kaze kitu Kambani Asee nilipiga kelele la Shangwe hadi Majirani kujiuliza kuna nini?? Daah Simba bhana naipenda sana nitabaki Shabiki mtiifu wa Simba hadi naingia kaburini..!!!
Asante Ndemla Kurefusha mkataba wako na Simba sc.