madeinmusoma
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 324
- 387
hivi asubuhi hakuna paper test yeyote kweli??
basi kamalizie hata course-work mpira jioni
Ndemla huyoo kipindi kile uwanja wa barafu paleee magomeni uwanja wa barafu ikitokea faulo huku nje tunaandika goli kipindi hiko mchezaji wa ngongo yeye mtoto wa kota
nb:ndemla umri amedanganya huyu jamaa umri wake ni zaidi ya miaka 25
Kwa maana hiyo Simba nap wamedanganya kudai kwamba ni wao ndiyo waliomlea tango akiwa kinda na kisha kumpandisha kikosi chat kwanza?Ndemla huyoo kipindi kile uwanja wa barafu paleee magomeni uwanja wa barafu ikitokea faulo huku nje tunaandika goli kipindi hiko mchezaji wa ngongo yeye mtoto wa kota
nb:ndemla umri amedanganya huyu jamaa umri wake ni zaidi ya miaka 25
ndemla huyoo kipindi kile uwanja wa barafu paleee magomeni uwanja wa barafu ikitokea faulo huku nje tunaandika goli kipindi hiko mchezaji wa ngongo yeye mtoto wa kota
nb:ndemla umri amedanganya huyu jamaa umri wake ni zaidi ya miaka 25
Kwa maana hiyo Simba nap wamedanganya kudai kwamba ni wao ndiyo waliomlea tango akiwa kinda na kisha kumpandisha kikosi chat kwanza?
wewe mwongo kajipange upya.huo tunauita uongo wa karibu na ukweli
YANGA 3 SIMBA 3
Daah hadi Half time nilijua zile 5 zinarudi,Kipindi cha pili walipoingia Vijana hao Walipoteza kabisa kiungo cha Yanga....Mara Mwombeki la kwanza dkka chache faulo akapiga Chollo ikatua kichwani mwa Captain Owino...Nikanywa maji Owino hakushangilia zaidi ya kuhamasisha wenzake...Yanga wakapagawa mara kona ikachongwa na Ramadhan Singano ikatua kichwani mwa Gilbert Kaze kitu Kambani Asee nilipiga kelele la Shangwe hadi Majirani kujiuliza kuna nini?? Daah Simba bhana naipenda sana nitabaki Shabiki mtiifu wa Simba hadi naingia kaburini..!!!
Asante Ndemla Kurefusha mkataba wako na Simba sc.
Ha ha ha ha ha,HAMIS 31Umenirahisha sana we jamaa,hebu agiza mchemsho nakuja kulipa